Search results

  1. K

    VYOMBO VYA HABARI NCHiNI TANZANIA SIO HURU???

    Ahh mnatuzingua tu na nyie kama hamtaki sensa acheni bana watu wana mambo kibao ya kuwaza wawafikirie na migomo yenu ambayo haina kichwa kwanza nyie mnajijua mko wengi coz mnazaa sana sasa si mjihesabu tu wends
  2. K

    January Makamba: Mbunge wa aina yake

    Huyu bwana uwezo wa baba yake nilikua siuelewi vizuri mostly alikua anaropoka tu sidhani kama atakuia nakipya zaidi ya baba yake amesomea hela hizohizo za wizi mwangalieni sana kwenye ishu ya uranium inayokuja hiyo ndo itakua hot kuliko richmond na dowans
  3. K

    Manji sues Mengi for 100bn/-

    Big fish in a small pond
  4. K

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Ha ha ha wasira! Wamuogezee na wengine wapo kina prof majimarefu kina tambwe hiza
  5. K

    Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

    Siasa za bongo bwana!! Kweli ni uchwara
  6. K

    Ccm igunga ni huruma baada ya kifo cha mtoto au ni huruma wakati wa uchaguzi.

    Unafiki tu kuwatumia hao maskini kama mtaji wa kura mbona hawachangii wagonjwa wa moyo na magonjwa mengine wanotakiwa kupelekwa india kwa upasuaji na wanatangazwa kila siku
  7. K

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    <br /> <br /> Mzee kwani wewe ni msomali?mwarabu?fisado?au kada wa chama unaonekana una uchungu sana na kinana kulilo hata nchi yako
  8. K

    Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

    Nape ni mnafiki katika anguko la ccm. nape atachangia asilimia 90 waliomchagua kwenye nafasi hiyo ndo ambao hawakusoma alama za nyakati wakihisi hii nchi ina watu walewale wa zama za ndio mzee watu hao wamebaki sehemu chache hasa mikoa ambayo shule zilichelewa wajukuu wao wakisoma hata wao...
Back
Top Bottom