Ahsante sana mkuu, ila zaidi ya miezi miwili sasa nimetingwa vibaya mno, niahidi tu kuwa tutaendelea na somo hili mwanzoni mwa mwezi disemba sababu bado nimetingwa sana
Mkuu aupa
Yes, unaweza kununua server online. Unahitaji kuwa na credit au debit card na account ya paypal kwa usalama wa fedha zako ufanyapo manunuzi online
Hili nitakujibu siku zijazo kwa maelezo ya kina zaidi
JINSI YA KUDESIGN BLOG INAYOLIPA sehemu ya 4
4. CONSISTENCE/KUDUMU KWENYE MADA
Hebu fikiria labda ulikuwa ukitafuta somo linalofundisha ‘Namna ya kufuga Mbwa' na unakutana anuani ya blog inayoelezea somo hilo kupitia injini za kutafuatia vitu kwenye mtandao (search engines).
Siku ya...
Somo lazima liendelee hakuna namna nyingine.
Halafu sasa nimeona tuwe tunafanya hata mazoezi kwa vitendo kabisa kwa baadhi ya mambo hasa namna ya kuandika vizuri kwenye ukurasa wa blog, kama ujuavyo uandishi wa kwenye blog ni tofauti kabisa na ule wa kwenye gazeti au kitabu, huku kwenye blog...
Ni rahisi sana.
Hakuna hela inayopatikana tu hivi hivi. Nguvu ya hela ipo kwenye mabadilishano ... 'A value of money is in exchange'.
Siku hizi ukienda kwenye shule nyingi iwe ni msingi au sekondari utaona walimu wanafundisha lakini pia wana biashara fulani pembeni, labda huyu anauza kokoto...
Post au website/blog kwa ujumla lazima iwe ya kiingereza au lugha zingine kubwa duniani ambazo google wameshazipitisha kwa ajili ya huduma ya adsense, utaona hata wakati unaomba kujisajiri unapochagua lugha ya blog yako Kiswahili hakipo! Kiswahili bado hakipo supported kwa adsense
Halafu siyo...
Mkuu poposindege
Kama unataka kwa ajili ya kuanza kujifunza na kupata uzoefu tu, basi anza na domain (jina) halafu server unaweza kutumia ya bure
ila kama ndiyo unataka kuwa na blog inayolipa au unatarajia ianze kukulipa hivi karibuni basi anza na vyote. Siyo bei kwa sababu domain ukinunua kwa...
Kujiunga na adsense ni bure ila kuna masharti unayotakiwa kuyatimiza. Mara nyingi blog zenye makala au lugha za kiswahili ni shida kuruhusiwa kuwa na adsense na ndiyo maana unaona kuna wadau wanauza account za adsense hapo.
Kuna general guidelines google wanayoiangalia kwenye hiyo blog yako na...
JINSI YA KUDESIGN BLOG INAYOLIPA sehemu ya 3
3. Self Hosted Blog
Ili blog au website ionekane hewani inahitaji vitu viwili
Jina (Domain) <= tumeshajadili kuhusu domain hapo juu kwenye TLD
stoo/hifadhi Host/Server (Host/Server)
Kama ilivyo kwa majina (domain), kuna majina ya bure na...
Wanadai baadaye zinakuwa disabled na google wenyewe. nime-google, hiyo kitu inawalakini, labda tupate ushahidi wa watu hapa walionunua adsense ac na wamedumu nazo muda wote.
Mkuu,
Kosa la kwanza ninaloliona ni namna DESIGNER wako alivyoiweka sheet au uwanja wa hiyo blog.
Utaona sehemu ya makala au uwanja wa kuandikia maneno una upana ulio sawa na uwanja wa menu (right side bar [B to C]). Upana wa kutoka A hadi B ulipaswa uwe mkubwa zaidi kuliko kutoka B kwenda C...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.