Search results

  1. A

    Bado Tanzania hatuna watetezi ambao wakitumbukia kwenye maslahi yao binafsi wanaweza kusimama kidete

    Bado tanzania hatuna watetezi ambao wakitumbukia kwenye maslahi yao binafsi wanaweza kusimama kidete kuitetea nchi ikiwa inateketea. "ni kuhusu posho za bunge la katiba na wajiitao watetezi wa watanzania ndani ya vyama vyetu vya siasa". Natambua kuwa makala hii haita mfurahisha mbunge yeyote...
  2. A

    Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini "tsnp" na university of dar es salaam human right association .

    WAZIRI PINDA APEWA SIKU SABA ATOE RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA UFELI WA KIDATO CHA NNE CHA MWAKA JANA. kuna tamko ambalo mtandao wa wanafunzi nchini "TSNP" wAKISHIRIKIANA na uNIVERSITY OF DAR ES SALAAM human right Association "UDHRA" Walilitoa hapo jana tareh 15 november 2013. tamko hili...
  3. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    comrade,,we are probable arleady dead man.so i will never fear any man in this world till i will die. emekha.
  4. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    comrade; education is not about graduating. life is perfomance. education is abt mind liberation. i will never acuse my self for what i did. and it is better for me to face expulsion than to knil down before injustice people. na unaposema kuna haja gani ya malumbano, nikuulize kitu kulikuwa na...
  5. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    katika mapambano yoyote nilazima utambue kuwa kuna sacrifce. hakuna mapambano for justice ambayo hayana kafara. nimejitoa kwa watu nahitaji kuwa sadaka ya watu. hivyo i don mind. sikusimama kwa ajili ya watu fulani wanichangie. nilisimama kwa kua nilitambua kilio cha wavujajasho wa Taifa langu.
  6. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    NIWAKUMBUSHE TU KUWA VITA BAINA YA DHULUMA NA HAKI, MARA ZOTE HAKI HUSIMAMA. Kwenu mjiitao wakereketwa wa UDSM. Taarifa potofu si njema sana ndugu zangu. Niseme tu, mda wenu wa kuwalaghai watanzania umekwisha. Kwa mda mrefu watawala wa vyuo vikuu mumekuwa watetezi wa dhuluma kinyume na...
  7. A

    Watanzania tulikanye bunge

    WATANZANIA TULIKANYE BUNGE WABUNGE ISHINI BEYOND YOUR POLITICAL PARTIES IDEOLOGIES. UTANZANIA KWANZA ITIKADI ZA VYAMA VYENU BAADAE. KWANI USHABIKI WA KIITIKADI UMELIGHARIMU TAIFA KWA MDA MREFU.SASA IMETOSHA.WAVUJAJASHO KARIBU WATAAMUA 2015. TATHMINI NILIZO NAZO NA AMBAZO NAAMINI WATANZANIA...
  8. A

    “Vita kuu Tanzania, ni Vita kali kati ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma”

    nashukuruni sana wadau kwa comment zenu. but ni vyema tuyaishi tunayoyaona yanamsingi katika taifa letu. kwa sasa Tanzania yetu inakosa dira sahihi kwa sababu wakati wa wavujajasho kuamua hatma ya nchi yao haujafika lakini naamini tupo kwenye danger zone. danger zone kwa sababu wahuni wachache...
  9. A

    “Vita kuu Tanzania, ni Vita kali kati ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma”

    comrade "Tunduru boy". binafsi sijaongelea gamba. nimeongelea vita baina ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma bila kujali gamba la chama chochote. haki haichagui gamba. lakini pia nimeongelea matumizi ya nguvu za vyombo vya dola hata bungeni baada ya historia kuonyesha kuwa nguvu ya vyombo...
  10. A

    “Vita kuu Tanzania, ni Vita kali kati ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma”

    NI UTABIRI WANGU. “Vita kuu Tanzania, ni Vita kali kati ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma” Mateso tunayoyapata, vipigo na kutekwa kwa watetezi wa haki, mabomu, risasi tunazopigwa, uonezi, unyanyaswaji, shutuma tulizokwisha pata, magerezani tulimo pitishwa, dhuluma tulizofanyiwa, sote...
  11. A

    Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa umoja wa wanafunzi waliofukuzwa vyuo na vikuu nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA KWA UMOJA WA WANAFUNZI WALIOFUKUZWA VYUO NA VIKUU NCHINI UTANGULIZI Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema na fadhia ambaye amekuwa ni tumaini la maisha yetu. Ndugu waandishi wa habari, Mbele yenu ni umoja wa wanafunzi tuliofukuzwa...
  12. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    GOD is Marching, Mungu wangu anapigana sasa, hakika amesikia sauti za wanyonge.. na hakika yeye ndiye mwenye suluhu ya wenzangu wote waliofukuzwa vyuo kwa sababu ya kutetea haki zao za msingi na haki za taifa hili. Lakini lazima niseme kweli ya moyo wangu. leo mafisadi papa wanapunga mikono...
  13. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    yap, baadhi nawafahamu, pia nafahamu kuwa siwezi sameheka from these injustice people. nimetembea sana ndani na nje ya mfumo wa nchi yangu kuueleza ukweli halisi kinyume na taarifa walizozitoa wao. nafahamu jinsi gani watawala wa chuo changu walivyoulisha sumu mfumo mzima. nafahamu ni nini...
  14. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    how long for these injustices? not long. we must fight them side by side, inch by inch and cm by cm until we win the batle. join me in this struggle coz together we shall overcome...
  15. A

    Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    WARAKA WA ALPHONCE LUSAKO alias EMEKHA IKHE KWAKO PROF. RWEKAZA MKANDALA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. NI VEMA UNGENIPIGA RISASI NIKAFA NIKAPOTEA DUNIANI KWA UDHALIMU ULIOSHINIKIZWA KUFANYA JUU YANGU NA WANAFUNZI WENZANGU NDANI YA TAIFA LANGU.KULIKO KUKUPIGIA MAGOTI NA KUDHARAU...
  16. A

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    Nafahamu kuwa kutofautiana ni demokrasia, nakushauri kaka angu, siasa zinahitaji busara kubwa za maamuzi, na nahisi maamuzi yako utayajutia milele, dhambi hii itakutafuna milele, haufai kuitwa kiongozi kwa sababu ulikuwa wapi kuyasema haya pindi yanafanyika?, unayasema haya baada ya kukutwa na...
Back
Top Bottom