Search results

  1. Y

    Chatting ya nape huko facebook.

    Mkuu, achana nae huyo. Nape uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo. Nakumbuka alivyosema siku moja akiwa katika mjadala star tv alipoulizwa kuwa kwanini ccm imejaa watoto wa vigogo ie. Mtoto wa Mwinyi, Yeye mwenyewe, Mtoto wa jk, Makamba, kn. Ili kuthibitisha kuw a akili yake si nzuri alijibu hivi...
  2. Y

    Mabingwa wanafanya nini nyuma ya mlango?

    Ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha Genge la matapeli.
  3. Y

    Material Wife

    Ni mkali lkn ila hajiamini. Kapiga karorite. Pepsi zimemsariti. Je mchina atakosa hapo!
  4. Y

    CCM tuambieni hawa ni mashabiki au wana shughuli maalum mikutanoni?

    Nao watakufa baada ya uchaguzi.
  5. Y

    CCM tuambieni hawa ni mashabiki au wana shughuli maalum mikutanoni?

    Haya ni majitu. Ni mazuzu. Yaangalie vizuri. Ni mifugo! Wana masime. janjawili.
  6. Y

    Hamjambo?

    Kwani wahuni huwajui au wewe ni mvivu wa kufuatilia mambo? CCM ndo wahuni. Ata hili la wakuu wa mikoa nalo hujaliona?
  7. Y

    Life after Death: What happens after death?

    Kufa kwa mtu, mti, sisimizi.... au chochote chenye kuishi NI SAWA TU. Sema binadamu kwa akili yake amejifanya kujipa matumaini kuwa kuna maisha baada ya kufa. Ukifa umekufa tu. Hizo ni ndoto za mchana na kujipa matumaini. Linda uahi wako maana hakuna maisha zaidi ya kufa. Mnisamehe mimi ni...
  8. Y

    Hamjambo?

    Nashukuru. Ntakuwa mwaminifu na mfuata vigezo na masharti
  9. Y

    Hamjambo?

    Naitwa Yared, nakuja kujiunga nanyi hasa katika harakati za mapambano ya kuliendeleza na kulikomboa taifa letu mikononi mwa wahuni/ Naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom