Search results

  1. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Naomba unisaidie niijue..Nguruwe sifugi
  2. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Sio kwa magonjwa ya mifugo kk..wanapata tiba na chanjo zote
  3. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Je Kwa mifugo kama mbwa kuku , ng'ombe,bata kuikinga isife au kupotea?kunayo dawa?
  4. J

    JamiiForums Usiku wa manane

    Karibu KB hapa kibo pamechangamka
  5. J

    FAHAMU: Part Time Jobs zenye Pesa ambazo watu tunashindwa kuzifahamu kwa undani na kukosa taarifa.

    Namba 1 na 3 ni kuzunguka kichaka,malengo ya thread ni no 2.kuna harufu ya utapeli..weka mbali na watoto
  6. J

    Mkopo wa riba nafuu

    Mbona ni kitu rahisi tuu..sema riba yako ni asilimia ngapi tuelewe moja .unafichaficha nini kwani unakopesha uchawi?acha hizo bana
  7. J

    Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Mkuu ni mbogamboga gani naweza nikalima kwa kutumia maji ya Kisima lakini yana chumvi? joka
  8. J

    Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

    CHAPUTA kwenye ubora wake joka
  9. J

    Hatma ya pombe zenye vifungashio vya plastiki (Viroba)

    Kwangu mm bora vimezuiliwa maana hata afya za waliokua wameathiriwa na matumizi ya viroba zimeimarika tangu kukatazwa kwake...
  10. J

    Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

    Bibi nae yupo insta[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  11. J

    Tembo kaanguka

    Hii ni Tz peke yake haijawah kutokea sehemu nyingine....
  12. J

    Ujuzi Hauzeeki

    Kumbe kuvaa soks ni ujuzi....haya
  13. J

    Wataalam wa kiafrika jee hii inawezekana?

    Sio jini,ni mtu ninaejuana nae kama miaka mitatu mkuu
  14. J

    Wataalam wa kiafrika jee hii inawezekana?

    Kuna kamchepuko kangu huwa napunguza stress za maisha mara moja moja,sasa cha ajabu jana nilimwita tukutane maeneo yetu ya kujidai tufanye yetu.ile kumshika kiunoni nakuta kweupee hakuna chachandu kama nilivyozoea ikabidi niulize kulikoni? jibu alilonipa ndio sababu ya kuandika uzi...
  15. J

    Mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani Singida

    kukamatwa kwa meno ya tembo maana yake tembo wameshauwawa. Nataka kusikia majangili yamekamatwa katika harakati za kutaka kuua tembo. Wazuie tembo kufa sio kukamata meno ya marehemu tembo.
  16. J

    Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    "walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb." kwani pesa iliyotajwa hapo juu ni mali yako au ya mkeo?
  17. J

    Siafu wamekazana,joka lazima litoke pangoni

    Sitoki ng'ooo... Endeleeni na njozi zenu za mchana
Back
Top Bottom