Search results

  1. U

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Hapa tulipofika kama taifa ndio watu wanaoamini kama mimi kuwa viongozi wenye msimamo na uzalendo lazima wapatikane na wawe ni viongozi wenye kuangalia maslahi mapana ya taifa! Viongozi hao wenye kuangalia maslahi mapana ya taifa kuwapata ni ngumu ila naamini wapo. I'm sorry to say right now our...
  2. U

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Dah! Huyu Tundu LIssu ni kiboko kikali! Yani jamaa ametoa ushahidi ambao kuupangua itahitaji kazi ya ziada ifanyike. Hii itasaidia sana tasnia ya sheria sasa na miaka ijayo! Kwakuanzia ajitokeze mtendaji wa mahakama kujibu hayo madai tuone atasema nini halafu na wengine wenye dhamana ya mahakama...
  3. U

    Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

    Jamani hao wabunge wamempitisha Mtanda kwa vigezo gani? B'se ilionekana Kigwangala ana cv kubwa zaidi ya Mtanda! Au ndio kusema camps za coming general election ya 2015 ndio zilikuwa zinapimana ubavu!
  4. U

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    Jipange! usikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
  5. U

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    take care! siku hizi kuna bikira za kutengeneza! mimi nimeshuhudia mtu akiambiwa hivyo ila baadae amegundua mambo mazito kumhusu girl friend wake!
  6. U

    Watanzania wanakula nyani!

    No! nyani wa kufuga hakuna atakayekula! watu wanapenda wale walioko porini bwana! hata samaki nchanga waliopo ndani ya nyumba watu hawahangaiki nao! wanapendelea wale waliopo porini pia!
  7. U

    Watanzania wanakula nyani!

    Nyama ya nyani inaliwa! sema tu huyo mwandishi kaamua kutoa sababu alizoambiwa ambazo mimi naona hazina ukweli, kwa tamaduni za kusini nyama ya nyani ni mboga nzuri tu! mimi kwetu mtwara na tunakula vizuri kama mboga ya kawaida pia ukisikia samaki nchanga pia ni chakula kizuri na tunatumia!
  8. U

    nimepata kazi mkoani ...najishauri!!

    Hivi miaka hii bado kuna watu wanajiuliza mara mbili mbili ni wapi kwa kufanya kazi! What matters ni kiasi benefit inayopatikana kwa kufanya kazi mahali! Nenda mkoani ukafanye kazi, kwanza opportunities ni nyingi kuliko dar, pia maisha ni rahisi sana kwa maana ya gharama za kuishi, mfano...
  9. U

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Vigezo vilivyotumika ni utata, pia hili swala la mkoa wa katavi kuwa na wilaya mbili tu, je ilikuwa lazima sana mkoa huu kuazishwa?
  10. U

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Lengo ni zuri ila kama kawaida! hapo clouds wanajitafutia sifa na ujiko tu! kwanini wawe reactive na siyo proactive!!!
  11. U

    Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

    Pole! Girls must be extra careful! tatizo most of them are material oriented! So when you meet a man who is ready to spend any thing in order to make you happy then you should expect any thing in the future! Kama ujuavyo tena inakuwa ngumu kumjua mwanaume mkeli na muongo kwa mara moja! ila kwa...
  12. U

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Safi sana! Inaonyesha hivyo vyama viwili vina kamati makini sana za ufundi!! Lets wait and see what will happen!!
  13. U

    Hatimaye Nimevunja mwiko...!

    feed back ni mlisho wa nyuma kwa kiswahili sanifu nawala siyo mshindo nyuma kama ulivyoandika!!!!
  14. U

    Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki

    Don't measure water depth using feet!!
  15. U

    Clouds kulikoni?

    Kusema ukweli hawa jamaa wa clouds wanajitahidi kujipambanua kama media house inayoendeshwa kisasa ila ukiwasikiliza kwa makini utagundua wanamuelekeo wa kujipendekeza serikalini badala yakuwa neutral! Hapo tu ndio penye utata, inawapasa wajue wanawajibu wa kusimama katikati ili kuwatendea haki...
  16. U

    Kilwa Road baada ya kumalizika imeanza kuharibika!

    Mawaziri wengine waige! japokewa kuigaiga napo bila kuwa creative inapoteza muelekeo! wivu wa maendeleo ndio unaotakiwa! kama tungekuwa na mawaziri watono hivi wa aina hiyo yaani wenye ujasiri wa kufanya maamuzi aggressive bila kuogopa kivuli namna hiyo mambo yangebadilika!
  17. U

    Angola: Waliothubutu Wakaweza na Wanasonga

    Hawa jamaa wa Angola inaonekana wameamua kukimbia wakati wengine tunatembea! kama kawaida, aliyelala usimuamshe! Sisi tuliwasaidia kupigania uhuru, sasa tumeanza kuwatamani! Kumbuka wanajenga reli hivi sasa ya kwenda Zambia! sisi tukiwa na kaproject kamoja tunabweteka! Wenzetu miradi mingi...
  18. U

    Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

    Kwani huyo Mintanga kesi yake iliishaje? Nakumbuka aliwekwa kizini lakini sikusikia kama alipandishwa kwa Pilato!
  19. U

    Taifa Stars ikiifunga Algeria mimi nabadili Uraia na kuwa Mtanganyika!!

    Tatizo mfumo wa michezo umekaa kimaslahi binafsi sana! wadau wengi wa michezo wanataka mafanikio ya haraka bila kutoa jasho! kwazaidi ya miaka 15 sasa style ya maandalizi ni hii hii! bila shaka, some thing is wrong some where but people concerned are not ready to take measures! IT CAN BE DONE...
  20. U

    Je, tanzania tunamkakati wa mkumiliki soko EAC?

    Habari wanajamvi! Kuna mambo najaribu kutafakari sipati majibu hasa kwamba kama nchi tuna mkakati gani! Mfano bidhaa tunazozalisha hapa nchini zina fursa gani katika soko la afrika mashariki? 1. Wakulima wa mazao mbalimbali wanayimwa fursa ya kuuza mazao yao mahali wanapopenda na kwa wakati...
Back
Top Bottom