Search results

  1. BenB

    Ni Mvivu sana kupiga sim ila na mimi nikileta uvivu analalamika

    Sasa! jana nimemlia mikausho mikali, baadae xana katuma sms nikaipotezea, then akapiga na kuanza kuuliza y nipo kimya nkamuuliza ulijisikiaje nlivokua kimya mda wote huo? akadai amejisikia vbaya... Sasa cjui nfanyaje coz napenda xana manzi wangu anichek kila time ikibidi ili hata nisiweze...
  2. BenB

    Ni Mvivu sana kupiga sim ila na mimi nikileta uvivu analalamika

    Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au...
  3. BenB

    Natafuta watu wanaosoma masters of education

    Nipo moro nasoma OUT (Open university)
  4. BenB

    Natafuta watu wanaosoma masters of education

    Nasoma OUT (Open university) so nahitaji wa2 ili tushee materials n knowledge
  5. BenB

    Natafuta watu wanaosoma masters of education

    Nasoma OUT (Open University ) thatz y nimeomba company on that
  6. BenB

    Natafuta watu wanaosoma masters of education

    Natafuta sana watu wanaosoma au waliosoma masters of Education hasa MED APPS (Masters of Ed in Administration Planning and Policy Studies) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kufanya discussions na kushare learning materials. Tafadhali naomba tushirikiane katika hili. Nitatoa mawasiliano kwa...
  7. BenB

    Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    Rais apaswa kuonyesha msimamo juu ya yale aliyokwishakuyatolea maamuzi
Back
Top Bottom