Search results

  1. engineerm

    Serikali kutolipa mishahara ya wafanya kazi wake

    Wana jf sielewi serikali ina mpango gani wa kulipa mishahara ya mwezi wa saba kwa wale ambao hawajalipwa. Kwa utaratibu uliozoeleka mishahara huwa inapelekwa kwenye taasisi husika then taasisi husika ndio inaisambaza kwa kila mmoja. kutokana na mishahara kulipwa moja kwa moja toka hazina kuna...
  2. engineerm

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    waungwana ni njia gani nzuri au agents wa kuwatumia kuagiza gari japani
  3. engineerm

    Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi sana

    kigamboni hakufai kwa viwanja kulishachukuliwa na serikali
  4. engineerm

    Hospitali nzuri ya kukata GOVI langu

    nenda pale hospital ya mnazi mmoja kuna daktari mmoja kirema anajua kweli kuyatoa hayo mi nilipona baada ya wiki 2+
  5. engineerm

    Civil engineering

    Angalia TCU kwenye kitabu cha priorities but Civil huwa wanatoa mkopo full. Specialization chukua Transportation au Water resources.
  6. engineerm

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    well said ndio maana mi nitachangisha kutoka kwa watu wote niliowachangia then nafanyia kijijini harusi na naweza tumia kama laki 8 tu zingine nanunua kiwanja fullstop.
  7. engineerm

    HESLB mnatuuniza sana

    Yaani website ya hii board ni matatizo kabisa bora TCU wako systematic. Nimelipia elfu 30,000 tangu jana gharama ya kuapply mkopo HESLB lakini nahangaika tangu jana kila nikiingiza Transaction ID hazitambuliki sijui inakuwaje hapa unalipia harafu bado maatatizo, please HESLB rekebisheni hili...
  8. engineerm

    humu ndani hakuna wa kuoa kabisa

    Huo ndio ukweli wagumu sana kukutana uso kwa uso,wanataka ku-practice online love tu,mbona wahitaji tuko wengi sana!
  9. engineerm

    Ugonjwa wa mapele makubwa kisogoni kwa wanaume wanene

    Nenda pale hindu mandal hospital kuna doctor professor wa magonjwa ya ngozi.Anakuambia kabisa kuwa hivyo vipele dawa hamna madukani huwa anakupa siku 2 anatengeneza maabara,rafiki yangu alienda pale katengenezewa vipele vinaisha kwa kasi saizi,ila anafanya laki na nusu.
  10. engineerm

    FastJet please fly to Mbeya as well, Precisionair is over crowded and can not meet the demand!

    Sijui kwanini hawa fastjet hawataki kuanzisha safari za Mbeya, maana wamewaachia precision air pekeyao ambao sasa bei zao za kwenda Mbeya zimefikia 310,000 tofauti kabisa na bei wanayoitangaza ya 249,000. Please fastjet njooni mlete upinzani kwa huyu precision air
  11. engineerm

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wakuu kwakweli hapa nimeshindwa kuelewa kabisa hivi ''Institution’s salary scale PTSS 13-14'' ni sawa na mshahara kiasi gani,manake hizi government salary scale ni nyingi sana na sizijui.
  12. engineerm

    Kweli Ndoa yataka Moyo.....

    Ukiona hivyo jua mme wako kakuchoka au kuna vitu adimu alikuwa akifanyiwa na huyo mpenzi wake sasa kavimiss ndiomaana anaamua kuvifuata huko,ushauri wangu kaanaye tena muhakikishie aacahane naye otherwise unalifikisha kwa wazazi.
  13. engineerm

    HELSB yawaburuza kortini 18 kwa kutorejesha mikopo

    Wanafunzi 18 wa vyuo vikuu nchini wameburuzwa mahakamani baada ya kubainika kushindwa kerejesha mkopo uliowawezesha kupata elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo (HELSB). Washitakiwa hao walioshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wanadaiwa zaidi ya Sh. milioni...
  14. engineerm

    Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    Hiki chuo kweli kipo ni kipya tu jengo lake lipo pale kimara mwisho(linapojengwa daraja la juu) ukitokea ubungo ni mkono wa kushoto fuata barabara ni kama mita 300m utakiona.
  15. engineerm

    Vyuo vya uuguzi

    Ni zipi qualification za kuchukua wanafunzi(especially matokeo ya form IV)?
  16. engineerm

    Kwanini CHADEMA hawaadhimishi siku ya kuzaliwa kwake?

    Wana jf kwanini CHADEMA hawaadhimishi siku ya kuzaliwa kwake?
  17. engineerm

    Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    web ya ajira ni hii hapa mkuu PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS sio hii;moe.go.tz
  18. engineerm

    Natamani hata kunywa sumu, mapenzi jamani...

    Naumia sana kuona wasichana wanaumizwa hivyo kimapenzi,hebu ni-PM ili niokoe jahazi niwe mbadala wa huyo jamaa
Back
Top Bottom