Search results

  1. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Hahaha! This sums it all. Indeed, na kwasababu majority hapa JF ni CHADEMA, basi concensus ni kwamba Zitto kaonewa. Case closed!
  2. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Alisikiliza na kutafakari hoja zote mbili. You know, you can do it too, now that we have those hojas here at JF.
  3. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Hahaha! I liked hiyo uliyochomekea ya "kufungia watu Ubunge".
  4. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Huu ndio ugonjwa wetu mkubwa. Tunaangalia hili jambo kwa miwani ya kiitikadi. Mie nikiwa namba moja, by the way.
  5. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa...
  6. M

  7. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Nimewachokonoa eh! mpaka mnaweka visasi. Kwikwikwi!
  8. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Well, tunayasubiri mapokezi. Tushazoea kusimamisha kazi kwa sherehe za kila mara.
  9. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    If you are a CHADEMA, then those are my sentiments about them. If you are a neutral, haikuhusu. My posting is very categorical as to whom it concerns.
  10. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Anakuwa tishio kwa Mbowe na soon wataanza kumfanyia fitna kama walivyomtoa Shaibu Akwilombe na Amani Walid Kaburu. No wonder kuna siku hapa JF mtu mmoja alipo-suggest kuwa yeye ndio awe kiongozi wa CHADEMA huyu bwana aliomba kauli ifutwe mara moja kwasababu anajua madhara yake. Kwikwikwi!
  11. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Hahaha! I see moderators wamefanya mambo na kuanzia sasa "i.diot" imezuiwa kutumika hapa JF. So, the brand has to stuck to Mr. Mbowe.
  12. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Kwahiyo, perhaps kuna precedent kwa mapokezi ya thieves and ****** who are sanctioned by the Parliament.
  13. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Fikiraduni, Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy...
  14. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Judy, nimefanya yale masahihisho with context. Nilikuwa namrekebisha Bwana Philemon Mikael, kiongozi mwenye dhamana kubwa katika jamii yetu, na ambaye watu wanadai he is extremely intelligent lakini anadai kuandika "rainball" badala ya "rainbow" ni kuteleza vidole. Caught him on stupidity...
  15. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Kichuguu, hujui kwamba CHADEMA ni NGO? Kwahiyo, usishangazwe na NGO nyenzake kujitokeza kumpokea shujaa...anayepokewa kwa kutimiza wajibu wake wa kuipinga Serikali. Wabongo kweli tumelemaa...yaaani tunafanya maandamano kisa Mbunge wa Upinzani kaleta hoja Bungeni ya kuipinga Serikali. What did we...
  16. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Hahaha! So, is it a good thing or bad thing? Lakini, Dante, that genious Italian, alipata kuandika kwamba "the hottest places in hell are reserved for those who, in times of moral crisis, preserved their neutrality" Lakini, at the same time, "feng shui" or "balance" is "in" these days. Hahaha!
  17. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Jana niliahidi kuya-post hapa ni 24-hours time. Still working on it. Bongo internet mzozo wakati mwingine. Lakini what is interesting ni kwamba kuna majority ya wana-CHADEMA hapa and surely one of them must have majibu ya Karamagi. Why are they not posting them? You guessed it.
  18. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Mwendo mdundo tu hapa...wako wengi lakini wanachoishia sasa ni kutukana na kutishia eti utajuta na unachoandika hapa. Ingekuwa mwenzangu mmoja hapa angeshachapisha petition kwamba anatishiwa maisha, but my mission hapa ni kudhihirisha unafki wa wana-CHADEMA hapa na kuonyesha kwamba their messiah...
  19. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Acha vitisho vya kijinga. Wewe mtu mzima na akili yako unadiriki kutishia watu eti watajuta kisa they don't share your views and beliefs! Hapa ndio mnapochemsha nyie watu wa CHADEMA kwasababu mnajionyesha your true colours as undemocratic and intolerant to different views. Mbona hapa niko gia...
Back
Top Bottom