inashangaza sana kuwa gpsa inategemea uwezo na juhudi zetu lakini wachache ndo wanaofaidi.hivi mtu unaweza kuchakachua ukasahau wenzako matokeo yake ndo hayo.kama shida ni kwa wote.nimesikia mkoa mmoja kuwa hata kodi ya pango inachakachuliwa,na madili hayo yanafanywa na mpangaji.utashangaa pango...
sio hapo tu hata mikoani nasikia sio mambo mazuri bora ya kwetu(hq), wanasikia tu kitu fulani tayari kimeshafanyika, mgao mdogo na maelekezo juu, Mikataba inafanywa kwa rushwa tuhuma ni nyingi na wazabuni wanalalamika na kusema wanaichukia GPSA, kwanza wamewatoa wenye uzoefu na kuacha wachache...
Inatia hasira na kushangaza , hivi ni kweli tumeshindwa kuwaadabisha, jamani tubadilike, usione wanzungu na sehemu nyingine wanaandamana sio ji tofauti na haya , watanzania wenzangu ni swala la kupanga maandamano na kushikiza maabadiliko, au manasemaje, Mwanzo ilikuwa mgao wa umeme sasa ni luku...
Subiria moto utawaka muda si mrefu. Wamaezidi, hela za uchaguzi wa igunga zimatoka wapi wakati umeme tatizo, ilikuwa ni lazima kufanya uchaguzi sasa hivi kama sio uchakchuzi wa fedha,
Oyaa! Kumbukeni twatakiwa kubadirika, ukitembea bararbarni sio unaharibu utaratibu, na jeshi la police nao utafikiri huu mgao hawauoni umeme ukikatwa wote giza, nafikiri cha msingi police waturinde tuonyeshe kwamba vinavyofanyoka sio, make sisi ndo tunao umia.wake up!
Wapizani ni wewe nani atkuonyeshea njia wakati unayeumia ni wewe, badirika mwanangu hii nchi wanatuchezea, play your part acha porojo, unafikiri kina slaa, kabwe , ambowe wana shida kama wewe, fight for your life, wao wanatafuta ulaji changamka utaendelea kulia hivyo ngereja anakula na katibu...
Inatia hasira na kushangaza , hivi ni kweli tumeshindwa kuwaadabisha, jamani tubadilike, usione wanzungu na sehemu nyingine wanaandamana sio ji tofauti na haya , watanzania wenzangu ni swala la kupanga maandamano na kushikiza maabadiliko, au manasemaje, Mwanzo ilikuwa mgao wa umeme sasa ni luku...
GPSA sio mchezo ni sehemu ya kuzoa kila kigogo aliyepo pale, sijui wanafikiri h Edit Postawatoka make wakunyata hizo hela utafikiri wamzaliwa nazo, na bado tutawalipua zaidi ya hayo, nina mpago wa kupublish hizo picha zinavyoonyesha jinsi wnavyochakachua, Haiwezekani kabisa wazee ndio wanofaidi...
Kweli Mungu awalehemu kwani hawakujua kama itatokea. Lakini na sisi wasafiri tunasababisha, ukisikiliza shuhuda ambaye alikuwa kwenye gari hilo anasema lilikuwa linagonga wanaulizana ni nini? Twapaswa kubadilika kama wasafili inatakiwa tuwaambie madereva.MUNGU ALAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHARI PEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.