Search results

  1. D

    Kwanini Dr. Slaa anawasifia polisi?

    Hauna taarifa ktk uchaguzi uliopita CDM iliongoza ktk vituo vyote vilivyokuwa kwenye kambi za polisi?
  2. D

    Umeme umezima kote?

    Chalinze nako wamechukua.
  3. D

    Jaman Lulu ana mambo!

    Aah mwita25 kumbe kwenye mambo haya upo mi nilidhani ni siasa tu.umekamilika sekta zote!safi sana!
  4. D

    Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

    mmh!ww ni mtata sasa,mbona hueleweki acha kuwa kigeugeu.
  5. D

    Original comedy wanapewa nini na CCM?

    Hivi huyu mwita25 ni mtanzania?tunaweza tukawa tunachangia na wakenya humu bila kujua!
  6. D

    Juice kwa kiswahil 2iteje?

    thanx too
  7. D

    Juice kwa kiswahil 2iteje?

    Inaitwa sharobati.
  8. D

    Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

    Mmh siamini kama watu wazima na akili zao wanaweza kufikiria ishu kama hiyo!
  9. D

    I have to do...ila isiwe Arusha

    Nitafute mi nipo mbali na arusha nitakutuliza hiyo mihemko yako!!
  10. D

    Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

    Sasa igunga inazidi kupendeza!
  11. D

    Dogo noma huyu

    Yani mpaka anamaliza kusali father bado ametulia,duuh huyo dogo noma!
  12. D

    Simuelewi Marando.

    Mi nilisema kuanzia cku ya mdahalo kuwa huyu jamaa simuelewi kabisa!
  13. D

    Air Condition Kwa Kiswahili sanifu ni Kil...

    Mmh kiswazi nacho kigumu.
  14. D

    Ajali YA Ndege Mbeya leo

    Wana kina kitengo cha police airwing.na wangekuwa hawawezi ingeundwa hiyo kamati unayosema,polisi wengine wamesomea hayo mambo na wana marubani wao au unadhani helcopter zao nani anazirusha.penye ukweli tuongee ukweli sio mtu unaandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
  15. D

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Yani tv zetu sijui ziko kwa manufaa ya nani coz mda c mrefu nilikuwa nacheki aljazeera,wao ndo wameonyesha hata miili iliyookolewa!then reporter yuko nairobi. means hapa kwetu hakuna hata reporter wa media kubwa kama hiyo!we are far away from world!
  16. D

    Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Nimeshakusoma mawazo yako hutaweza kupata hiyo job.nikuulize kama hata cku moja umewahi kuckia matangazo yao ya kazi?wana wa2 wao so utajisumbua,then wameona umeshaanza kuandika huku jf wanajua utakuwa virus!
  17. D

    Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

    Nadhani ppo wa arusha ndo watatuambia leo Mh.lema anafanya kazi gani jimboni kwake!
  18. D

    Mikakati HATARISHI ya CCM kwa ajili ya IGUNGA

    <br /> <br />
  19. D

    Maandamano nchi nzima, yanaweza kutatua kero zetu?

    Tusidanganyane ww mwenyewe uliyesema hivo hutanyanyua mguu kwenda kwenye hayo maandamano.tunajijua wabongo tulivyo wanafiki!
  20. D

    Seriously! I want to join freemasonry..

    Achana na tamaa za dunia!
Back
Top Bottom