Search results

  1. B

    Ni wazo tu jamani..... msinijie juu!

    Tabia ya mtu ni tabia yake tuu, na kamwe hawezi kuiga ya mtu mwingine, .... maana yake ni kuwa, kama ulizoea kutafuta mapenzi ya ziada hata ukiwa na anayekuridhisha kwa kiasi choote alichojaaliwa na mungu ni lazima utatafuta mengine, hii ni kama sumu ikiwa kwako ni lazima itoe matokeo yake...
  2. B

    Shameful!

    Well Gentlemen. There is a guy in this forum goes by name of Julius. Although some have been trying to ridicule his ideas, but when it come ot the Point of "ndivyo tulivyo" we have to bow to him. He keep on saying it again and again, and we keep on proving him righ again and again. Viongozi...
  3. B

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    asante waheshimiwa nitapunguza kunywa bia nitajitahidi ninunue dstv
  4. B

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    Waheshimiwa vipi tunaweza kupata website yoyote ambayo tunaweza kuangalia live hii big brother Africa? Najaribu kuserach sipati kitu mimi sina dish la dstv. Help please.
  5. B

    A Brief History of corruption: 1997 - The Beginning

    Mkoloni hakuwa na ufisadi alikuwa na nidhamu kubwa ya kazi na hakuwa mbabaishaji hata kidogo. Ubabaishaji huu na ufisadi tumeuingiza kutoka sehemu nyingine. Hatukuutoa kwa mjerumani wala muingereza.
  6. B

    A Brief History of corruption: 1997 - The Beginning

    tumeanza kuwa makini kweli, kuangalia wapi ka mchezo haka kalianza.
  7. B

    Kalonzo Musyoka-"umakamu Wa Rais Mashakani?"

    One party, two party, bi party, multi party, no party any of these can do, depends on circumtances!
  8. B

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Mtoto wa mkulima, nashukuru. NI kianza na jina langu, ni Bw Harage kwa maana ya maharage kile chakula. Nikiwa peke yangu sina maana siwezi hata kufaa kwa chakula, ila tukiwa wengi. Ni kweli nimechanganya vitu, maana ni kama nimeweka vitu vingi chini ya mwamvuli mmoja. Lakini nilichokuwa najaribu...
  9. B

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Ndugu wananchi bila shaka wengi mnajua kabisa kuwa baada ya Mh Amina Chifupa kufungua mdomo wake kuhusu dawa za kulevya ilijulikana kabisa kuwa siku zake za kuishi zinahesabika, Kolimba alivyosema "ukuta wa Berlin" utaanguka basi siku zake zikawa zinahesabika, orodha inaendelea na kuendelea na...
  10. B

    Gharama za gesi na upatikanaji wake

    Nawashukuru sana waheshimiwa, ni ajabu sana kuona kuwa tuna gesi lakini ni bei sana! Hapa ni kama serikali inatuhimiza tutumie Mkaa, yaani wanatuhimiza tuendelee kutoa support ya kuharibu misitu!
  11. B

    Gharama za gesi na upatikanaji wake

    wadugu bloggers Ninatatizwa na gharama za umeme na Mkaa kwenye kupikia, naomba kama kuna anayejua gharama za mtungi mmoja wa gesi na wapi naweza kuipata hapa Dar. Mkaa sio bei sana lakini sio clean, umeme unapanda kwa hiyo budget yangu ambyo ni limited itanitesa kiasi. Kwa mwenye ufahamu...
  12. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    That fact (kufungwa na Bolton) outweighed any complaints Ferguson may have had, justifiable or not and, perhaps, the biggest concern the United manager should have of all this morning is that his team's only two defeats so far this term have come at Manchester City and Bolton in two games that...
  13. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Arsenal hawanahaja ya kumuelewesha mtu, wenye macho wanaelewa kila kitu!
  14. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haha Leo mmezibuliwa, and many more still to come.
Back
Top Bottom