Ndio ujue mapenzi hayana ukweli na hayana maamuzi mamoja. Mapenzi ni unafiki fulani hivi ambao mnakubaliana mdomoni lakini moyoni kila mmoja anawaza lake. Ukiwachunguza hao sio kwamba waliishiwa kabisa inawezekana kila mmoja ana ki akiba alijifichia. Kwenye mapenzi wote ni wasaliti.
MCHUNGUZI HURU
Umechemka. Ni hivi kwa anayefanya kazi, mwisho wa mwezi ndio tarehe za kuvuna toka kwa bf wake, hivyo atazitumiaa hadi tarehe hizi bf kaishiwa ndio yeye anaanza kutumia mshahara wake, taratibu bila bf kujua, unajua wanawake walivyo wabinafsi (sio wote). Chunguza tena!
Dhambi iliingia baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi kwa kutotii na kutenda walilokatazwa. Wakafukuzwa bustanini. Wakalaaniwa watakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu.
Weka mada mezani. Mwambie ukweli kwamba umejua alitolewa kizazi. Bila shaka atalia na kutubu kwa kukudanganya. Panga naye mkubaliane hatima ya penzi lenu; uoe mke wa pili akuzalie, uzae nje yeye alee au muachane!
pagumu hapo, lakini hakuna jinsi.
Wanaume wengi wa aina yako wasiojiamini nawaonea huruma sana. Mkeo umkorofishe mwenyewe, akiamua kujiliwaza na tunyimbo tutamu unaanza kuumia, poleni sana vidume type
We wa wapi? aliyekwambia kucheka ni kufurahi nani? nimecheka jinsi mchakato mzima wa kuzuia kumwaga utakavyofanyika, sijafurahi huyo mkaka kuwa na tatizo hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.