Search results

  1. N

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    apigwe stop ili muendelee kutoa taarifa za kuleta taharuki kwa umma bila kupata maelezo? Balozi aendelee kutupa taarifa ya kinachoendelea- yeye ndio macho na masikio yetu. Yeye ndio mwenye wajibu wa kuzungumza na Serikali ya China kufikisha masuala yoyote yanayohusu Tanzania (mazuri na mabaya)...
  2. N

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    huyo mtoa habari wako badala ya kutoa taarifa sehemu inayoweza kushughulikia tatizo lililomkuta anakuletea wewe? Ili ufanyeje? Ubalozi utawezaje kuota kwamba umepata tatizo kama usipoliwasilisha kwao walifanyie kazi. Tuwe wakweli- tunapenda kulalamika pasipo kufuata njia za kushughulikia...
  3. N

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    hizo lugha za kidiplomasia unazosema- nenda kaangalie Waraka wa Kidiplomasia ulioandikwa na Mabalozi wote wa Afrika waliopo China (Balozi wetu akiwa sehemu yake) yote hayo unayosema yalikuwemo. Pia tafuta full audio clip ya Balozi aliyozungumza- sio clips fupi zilizokuwa edited na clouds media...
  4. N

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    Moja ya matokeo ya kazi nzuri ya kutetea raia wa Afrika ni hatua ya Serikali ya Guangdong kutoa kanuni mpya kuhusu namna ya kushughulikia masuala ya wageni. Ninaziweka hapa (attachment)
  5. N

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    Hivi ulitaka kuona Balozi atoke kuitukana na kuilaani wazi serikali ya China? Ukitegemea hivyo basi haujui sawasawa kazi ya Balozi. Nchi zinazotuma Balozi kwenye nchi nyingine- maana yake zina MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA- ambayo maana yake ni nchi rafiki- na zina ushiriikiano. Nchi...
  6. N

    Waziri mhe. Philipo Mpango: Balozi wa Maputo ameshachukuliwa hatua zidi ya ubadhilifu wa mali za umma

    Hakuna mahala imesemwa aliyechukuliwa hatua ni Balozi. Imesema MHUSIKA. Mhusika anayeongelewa ni MHASIBU - reference ni hizo hapo chini: MICHUZI BLOG: MHASIBU WA UBALOZI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA
  7. N

    Kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Prof. Hubert Kairuki. Muasisi wa hospitali/chuo kikuu binafsi nchini

    Prof Tibaijuka hakuwa Waziri wa Ardhi mwaka 1987 wakati Prof ananunua ardhi hiyo. Kumbukumbu zinaonyesha Prof Tibaijuka alikuwa Waziri wa Ardhi mwaka 2010. Indeed, liers should have good memories.
  8. N

    Kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Prof. Hubert Kairuki. Muasisi wa hospitali/chuo kikuu binafsi nchini

    Chuki na uwongo havisaidii jamii. Eneo la Boko Prof Kairuki amekuwa nalo tangu mwaka 1987. Alilinunua kutoka kwa marehemu Juma Mkombe. Hivyo historia ya kusadikika uliyonayo wewe ni feki
  9. N

    Kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Prof. Hubert Kairuki. Muasisi wa hospitali/chuo kikuu binafsi nchini

    Taswira za miradi iliyokuwa presented kwenye kumbukumbu ya miaka 19 ya Profesa Kairuki ikijumuisha Campus mpya ya Kairuki University; Kituo kipya cha Afya ya uzazi; kituo cha tiba ya figo; kiwanda cha madawA
  10. N

    Kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Prof. Hubert Kairuki. Muasisi wa hospitali/chuo kikuu binafsi nchini

    Ahsante sana Pascal kwa kutujuza tukio hilo la kumbukumbu ya Prof Kairuki. Huyu Mzee alikuwa Mzalendo wa kweli kwa vitendo. Laiti tungekuwa na Maprofesa 10 tu wenye uthubutu wa kufanya mambo kama aliyofanya Prof Kairuki, tungekuwa mbali katika sekta ya afya nchini. Matokeo chanya "positive...
  11. N

    Rais Magufuli amewateua Alphayo Kidata na Simon Mumwi kuwa Mabalozi

    Tatizo lenu mnapika uwongo na mkielezwa facts mnakuwa mbogo. Ondoeni ujinga wenu kwenye jukwaa hili la Great Thinkers watu wanapojadili mambo ya maana. Pelekeni upuuzi wenu kwenye jukwaa lenu la "majuha" kwa Mange. Huyo waziri Mnayemtungia uwongo haishi Wazo na wala hajawahi kuishi Wazo.....
  12. N

    TCU yakanusha Uvumi

    Tume ya Vyuo Vikuu nchini imetoa Taarifa kwa Umma kukanusha uvumi ulioenezwa kwa njia ya mtandao juzi na jana kwamba Tume hiyo imezuia Vyuo 22 kufanya Udaili wa Wanafunzi katika mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa habari zaidi angalia hapo chini:
  13. N

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    Nadhani haujasoma kwa makini nilichoandika,maana unachosema sicho nilichosema. Rudi juu usome vizuri. Nahisi una matatizo ya uelewa wa tafsiri ya sheria kwa lugha ya kigeni uliyopost hapo.. ngoja nikusaidie.. inaposema.... ‎ There shall be an Executive Director of the Centre who shall be...
  14. N

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    Fanya utafiti utaelewa.Zipo kazi mbalimbali ambazo unafanyika usaili na mwishowe washindi watatu majina yao yanapelekwa kwenye Mamlaka za Uteuzi. Hii sio kwa TIC peke yake. mfano wa karibuni umeona baada ya bodi ya TCRA kuvunjwa wiki iliyopita, juzi tangazo limetoka watu waombe. Mwisho wake...
  15. N

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    Kama umesoma kwa makini jibu lake lipo kwenye No 2. Maana yake swali hili liulizwe kwa Bodi ambayo ina Mamlaka ya Kisheria kumpangia mshahara.
  16. N

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    Ndugu Wanabodi, Tangu kutenguliwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC Bi Kairuki, kumekuwepo na mjadala mkubwa wenye kutoa hoja na uchambuzi wa aina mbalimbali wengine wakimtetea na wengine wakimponda,ilimradi kila mtu na fikra zake. Katika mijadala yote, kwa bahati mbaya msingi wa maoni yaliyotolewa...
  17. N

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Salaama hoja zako zina mashiko....nimesoma alichosema mtoa mada na ulichosema wewe kuna mambo ya msingi hayajakaa sawa. Mtoa mada amejichanganya anaposema Mkuu wa mradi anabuni njia mbalimbali za namna ya kuiba fedha za wafadhili kwa " kuibua vimiradi vya hovyohovyo ambavyo anashindwa kuvitolea...
  18. N

    Rais Kikwete amteua Balozi Mulamula kuwa Katibu Mkuu

    Lambardi Ile kitendo cha kuweka habari hii kwenye topic isiyohusiana naye inadhiirisha kwamba habari hii ni ya uwongo na ina malengo ya kumchafua Mheshimiwa huyu. Nimjuavyo mimi huyu dada ni mmoja kati ya wabunge wanawake wanaojiheshimu na wanao command respect ya wabunge wenzake kutoka pande...
  19. N

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Ngurubhe...... Huo ndio ukweli mchungu. Nilichofanya ni kuacha ushabiki na kuelezea FACTS na sio kutoa hoja kwa hisia. wewe nenda kwenye kila fact...niambie wapi ni uwongo.... ..Bath 13&14 zimejengwa? Zipo wapi? Reli ya Kati ishajengwa? Ipo wapi? Na je ni uwongo kwamba Rwanda na Uganda sasa...
Back
Top Bottom