Kubaliana na matokeo maana hayo ni mavuno ya kutokujali afya ya meno yako, huko clinic wanaziba meno na unga fulani na yataonekana kwa nje kungara, baada ya miezi michache ya hiyo rangi inaisha tena safari hii yatakua kama sinki lililovubaa, kwa hiyo ni bora ukakubaliana na hali yako ya sasa...
Huyo jamaa anaweza kuwa wakala wa kipepo katika shughuli zako, We endelea kumshawishi mtu ambae huitaji ata elimu ya darasa la nne kujua kwamba hataki, utakuja kupigwa tukio halafu utatamani unifiche na uso wa dunia.
Kwa hiyo huyo jamaa akisema ndiyo sheria za mipango miji? Hayo ni maneno ya kujifariji subirini amri ya Rais ianze kufanyiwa kazi, Watu wanafikiri amri ya rais ni kama wanapojiendea tu mahali popote na kuwrka meza.
Warudi walikokua kabla, wote wale walioko mabarabarani wana meza zao katika masoko na minada, wameziacha wamezikodisha kwa machinga wengine, hivyo hakuna ambae hana pa kwenda, hata hivyo si jukumu la mamlaka kuwatafutia mahali pa kuenda , sababu hapo walipo siyo mahali sahihi na ni kinyume na...
Kwani unafikiri hawa machinga ni wageni basi, walikuwepo katika minada na baadhi ya masoko, sasa wakati Mwendazake matajiri hawakuzikubali sera zake akaona awauzie hifadhi za barabara wamachinga kwa shilingi elf 20,000. Huu ulikuwa ukiukwaji mkubwa wa sheria za miji.
Aisee ni watu wachache sana watakuelewa kwa maana watu wanapenda kudanganywa, na huwezi kujua jinsi watu walivyo ni mpaka upitie mahali pagumu ndio utajua hujui, Ukiwa na kazi nzuri ni kosa ukiwa huna kazi ni kosa, Hivyo ni kujipanga ukijua kwamba hawa ambao wako na wewe wanasubiri uteleze ndio...
Mali bila hekima ni ujinga tu, unakua na mali halafu huna hekima ya kuifanyia mahali salama, likikupata jambo utamwambia nani akusikilize?
Halafu mnatafsiri mbaya kuhusu mali,
Mali kila mtu atapata kwa juhudi zake, ila je dhoruba za maisha zinaponyanyuka hizo mali zinakusaidiaje?
Watu ni vilaza sana, ambacho baadhi ya machinga wanafikiri nchi ilikua ya Magufuli . huu ni Utawala mwingine,
Mamlaka ya Nchi yako kwa
Bi.Samia Suluhu Hassan utawala wa magufuli ulishaisha, kikubwa watu tuache mambo ya kale tuende na wakati.
Na bado subirini huko sokoni mnakopelekwa ushuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.