Search results

  1. Z

    Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    Si umeme lakini hata haya makanisa njooni myachukue na pia wamachinga wauza njugu
  2. Z

    Kumbe Nchi Iko Vitani na Al-Shabaab

    Hayo ndo ya kujipendekeza kwa watu, kama kweli unasapoti si na wewe upeleke wanajeshi au .....? Magamba wanataka kututoa ktk mode ili walipe DOWANS.
  3. Z

    Kwa hili Fransis Kiwangwa, hatuwezi tena kupinga malipo ya DOWANS

    Mimi nilijua kama alikuwa hajafikia thamani alioahidiwa kupewa na magamba, lakini alipozitia mkononi tu kasingizia Al-shabaab. Wananchi mnakiwa kuandamana wenyewe, maana wasomi wengi wanaogopa kipigo na rumande.
  4. Z

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Mkuu ni shemeji yako au kaku...................... ? Siono la maana alolifanya sikwambii hapo alipo sasa hvi hata huku zenji bora Punda anathaminiwa kuliko kiburi huyo. Kuwa na akili ukiongea bana !
  5. Z

    Muendelezo wa Kesi ya ubunge Arusha

    Waihamishie Bwawani ukumbi wa Salama, Zanzibar.
  6. Z

    Hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara Duniani

    Mimi napata tabu ktk issue hii, kwa mfano wazanzibari hawaoni tabu kujitambulisha kama wazanzibari na pia vingozi wao wako hivo hivo. Cha kushangaza nyinyi wenzetu Watanganyka hili jina hamlitaki na ndio maana viongozi wenu pia hawalipendi kulitumia hili jina musimlaumu Nyerere, na ikiwa...
  7. Z

    Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    Huo ndio upumbvu mlionao, mkiambiwa kweli mnajidai tunaleta udini, yaani nyinyi siku zote mnakuwa kama vile serikali ya marekani "mkisema nyinyi nisawa lakini wengine inakuwa noma" Huo uliolezwa ni ukweli mtupu lakini kwa vile alotajwa ni muislamu inkuwa hana uzito hata kama anastahiki kupewa...
  8. Z

    Agosti 31 ya JK: Baraza la EID huko Dodoma kutumika kurusha makombora, usikose!

    Nimesoma maoni tofauti, lakini nimegundua UDINI na CHUKI binafsi kwa wachangiaji zinawasumbua sana. Mnatakiwa msijifikirie nyinyi (i.e WAKIRISTO) tu, pia waislamu wanahaki kama walivo wakiristo ndani ya nchi hii. Wacheni ubinafsi wenu wana JF. Wassalaam.
  9. Z

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    Ujinga mtupu !!!!!!!!
Back
Top Bottom