Search results

  1. B

    Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Prof Rugumamu sr. and Jr Prof. Mwandosya Prof. Tolly Mbwete Dr. Mwamfupe Dr. Jambia Dr. Mwaigomole Dr. Lyoka Dr. Katabaro Prof.Possi Dr. Magreth mboya DR. Massoud RIP PROF. Mbonile Prof P. Mushi Prof. Mosha manywele Prof. Ngwale suleiman. Prof. Mpangala Prof mlwaya...
  2. B

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Wadau nasikia JK haongei tena kama alvyoahidi hadi wiki ijayo. Je hii habari ina ukweli?
  3. B

    Watanzania waliosoma Havard

    Yupo PROF Ishumi
  4. B

    Mikogo ya Hemed Kivuyo wa ITV!

    Hemed Kivuyo ni mtaalam na anakubalika na wengi na naweza kumfananisha na Ben Mwakikoti jasiri wa afrika. Ben akitangaza Habari za Majira watu walikuwa wanasahau kula.:lock1::lock1:
  5. B

    Mikogo ya Hemed Kivuyo wa ITV!

    Huyu jamaa yuko juu sana.
  6. B

    madiba aaga dunia

    Mandela kapumzke shujjaa was Africa.
  7. B

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kataika orodha yako ameongezeka uncle J yaani Julius Nyaisanga. RIP Uncle J
  8. B

    Star times ni mradi wa nani

    Binfika nasikitika sana kwa kunyimwa haki ya msingi ya kupata habari kama mtanzania mwingine yoyote. Mwal Nyerere ambaye siku zote watu mbalimbali wamekuwa wakimtumia kama kete ya ushindi na hasa wanasisa alisema mwananchi asiyekuwa na elimu ana maradhi makubwa kuliko maradhi mengine yote. Mimi...
  9. B

    shabiki siku zote si mchezaji

    Mwigulu ndugai na makinda wao ni mashabiki wa chama na si wanchama, mwanachama huwa hongozwi na hulka za hisia bali hekima, busala na utashi wa kubaini ukweli na kusimamia haki. Shabiki siku zote haijui haki wala hatambui ukweli ni upi, isipokuwa anakurupushwa na hisia juu ya kile...
  10. B

    Dr Ulimboka

    Hiyo video ni ya kuchongwa, kwani hata anachoelekeza lwakatare hakisikiki, huo ni uongo wa hali ya juu kabisa, hizi njama nia za serikali ya ccm na si za chadema. pili kwa nini membe hajakamatwa naye aliapa kuwa ana maadui kumi na moja wakiwemo waandishi wa habari wawili? na alisema atawamaliza...
  11. B

    Itv, eatv, star tv

    Wdau tv nilizozileje hadi leo naona kwangu zipo on test tangu matumizi ya digitali yameanza, na chaneli zote zingine ambazo awali kwa king'amuzi cha star times zilikuwa zinaoneonekana hizo zinaendelea kupatiakana kama kawiada. nilipowapigia hawa wahusika wa king'amuzi hiki wanaambai nielekeze...
  12. B

    Hongera Hazina kwa kazi nzuri

    Hongera yako sijui ilimaanisha nini kwani ni mishahara bado haijatoka na haileweki ni lin itatoka, kwa sbb nasikia haina pesa. hivyo wansubiri makusanyo ndiyo walipe hiyo mishahara,
  13. B

    Mwana kioo cha jamii mwaingine anaumwa Taarifa kwa Jk

    Baba yetu JK mwanakioo cha jamii ndugu yetu Small Wangapa anumwa ambapo amepooza mguu. Kwa Taarifa hii tunaomba umsaidie naye kama ulivyomsaidia mwanakioo cha jamii ray c kwani naye badotunamhitaji na hasa ukizingatia mchango wake mkubwa alinao katika jamii ya watanzania kupitia sanaa yake ya...
  14. B

    Mtu yeyote anaetaka kuwa kiongozi awe amezaliwa baada ya 1961. Makamba Januari

    Kijana januari, anutaka urais kama baba yake yosefu alivyomuombea uwaziri kwa swaiba jk naye akazuga na baadaye akaachia. Akumbuke kuwa kwa kufanya hivyo anamwaga sumu kwa rika jingine na kueneza ubaguzi wa kiumri. kinachotakiwa ni hekima na dhamira ya dhat i ya kulikomboa taifa hili katika...
  15. B

    Mtu yeyote anaetaka kuwa kiongozi awe amezaliwa baada ya 1961. Makamba Januari

    Kijana januari, anutaka urais kama baba yake yosefu alivyomuombea uwaziri kwa swaiba jk naye akazuga na baadaye akaachia.
  16. B

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Ni kawaida kwa jamii yoyote duniani kuoa ama kuolewa na hasa kwa binadamu aliyekamilika. Kimsingi kuoa ni jambo la heri kwa mtu kupata mwenzi. Na ndugu jamaa na marafiki kuchangia kwa mawazo mali na misaada mingine ya kijamii ili kufanikisha shughuli hiyo kukamilika. Hata hivyo uchangiaji huu...
  17. B

    A Headless Body Katikati ya Barabara ya Mandela!.

    Waendesha tukutuku ukweli wanahitaji mafunzo ya kosha Na ikiwezekana wafungiwe kwanza mpaka wapatae mafunzo ya kutosha. Hawa watu hawaelewi kirahisi na has pale wanapojifanya wao wanajua sheria wakati ni maamuma. Wengi wao hawajui hata kuandika majina yao, pili pikipiki sio ajra pekee ambazo...
  18. B

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Sharo RIP:majani7:
Back
Top Bottom