Search results

  1. Meitinyiku L. Robinson

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Mhe. Huyu alitangaza hadharani kwamba naye hatochukua pesa za posho katika Bunge hili Maalum la Katiba. Tazama yaliyojiri sasa.
  2. Meitinyiku L. Robinson

    Dkt. Kigwangala Acha Kumtafutia Membe Balaa

    Iwapendeze waungwana........ Binafsi niko Mt. Meru Hotel muda huu namwona Kigwangala akihangaika kusubiri wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kwa dhumuni la kuwapa ujumbe kutoka kwa Waziri wa Mambo Nje. Kigwangala kawahakikishia baadhi ya wajumbe kuwa lazma waingie Ikulu..... Baadhi yao...
  3. Meitinyiku L. Robinson

    Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    Kileo kweli of all the people........ Its very clear sawa kapewa chopper juzi ila haitokaa awe Mbunge wa huko......... hawezi na haitotokea Yeye mwenyewe Kileo na Joyce wanafahamu hilo aache kabisa halafu eti mnajifanye kutaka kurase hoja ya Ukabila...... hata mimi ntasema waachwe Wapare...
  4. Meitinyiku L. Robinson

    DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

    Halafu wale wanapaswa kuitwa WAJUMBE wa Bunge la Katiba na si Wabunge............ Kuna Mjumbe toka CCJ Paul Christopher Makonda
  5. Meitinyiku L. Robinson

    Kukaa kimya kwa Lowassa kujibu tuhuma ni werevu wa Lowassa au ni ujinga wa watanzania?

    Lowassa ndo habari ya Taifa hili....... wamemwonea sana, wamemchafua sana, ila Mungu ambaye ndiye msimamia haki alimwongoza na hapo alipofika Lowassa ni kwa Neema tu......... Mckenzie kamaliza kujibu yote tena hoja kwa hoja na kwa ufasaha mkubwa bila kumumunya maneno........ Long Live...
  6. Meitinyiku L. Robinson

    Kukaa kimya kwa Lowassa kujibu tuhuma ni werevu wa Lowassa au ni ujinga wa watanzania?

    Duh! Mckenzie u left no stone untoched.......... U made my day
  7. Meitinyiku L. Robinson

    Pole January Makamba

    Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu. Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima...
  8. Meitinyiku L. Robinson

    Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

    Wamenyea kambi............. Ni bak bandu sasa! Arusha watu wameshajichokea na hiki kikundi
  9. Meitinyiku L. Robinson

    Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

    Blaza ur just a nincompoop......... Inakula tu.......
  10. Meitinyiku L. Robinson

    Mbio za Urais: Makamba Jr agawa laki 1 Ruvuma

    Kama jina lako lilivyo kaendelee na halakati
  11. Meitinyiku L. Robinson

    Mbio za Urais: Makamba Jr agawa laki 1 Ruvuma

    Kutokuelewa ni hulka na tabia ya kwenu.......
  12. Meitinyiku L. Robinson

    Mbio za Urais: Makamba Jr agawa laki 1 Ruvuma

    Sawa naenda kujifunza nikiamini ujumbe umefika
  13. Meitinyiku L. Robinson

    Nadharia tatu zitakazo mtoa Lowassa kwenye mbio za urais-2015

    Hayo ni ya Kaisali na Filosofia twende kwa Contemplaly world........ wewe kumtaja tu ama kwa mema au mabaya kuna maana kubwa sana......... haepukiki tena
  14. Meitinyiku L. Robinson

    Mbio za Urais: Makamba Jr agawa laki 1 Ruvuma

    izi mbio za Ulaisi zimeonekana kulitikisa Taifa hasa kwa hili kundi linalojopambanua kwa jina la Vijana. Ilianza kama utani ila sasa hii taasisi ya Ulaisi imeonekana kuwa ni sawa na meno kwamba kila mtu anaweza kuwa Laisi wa Taifa hili ambalo kimsingi bado linahitaji mtu hodali, shupavu...
  15. Meitinyiku L. Robinson

    Kuhusu Posho: Majibu kwa hoja nyepesi za Lema

    Kitabu cha Wagalatia nadhani Mlango wa Nne kuna neno linasema; Je nimekuwa adui yenu kwa sababu ya ukweli?? Usinifanye adui na wala usifikiri sana Lema anashambuliwa bali anaambiwa ama ukweli anaupasa kuufahamu au elimu anayopasa kuipata......... Mapenzi uliyo nayo kwake yasifanye...
  16. Meitinyiku L. Robinson

    Kuhusu Posho: Majibu kwa hoja nyepesi za Lema

    Nimekuwa miongoni mwa waliokuwa wakifuatilia malumbano yaliyoanzishwa na Bwana Godless Lema dhidi ya Zitto Zuberi Kabwe akidhani na kuamini kuwa kwa kufanya hivyo umaarufu wake utazidi kuongezeka. Ila anaetahili polebza dhati na nadhani Lema ni mtu wa kuonewa huruma kuliko Mbunge mwingine...
  17. Meitinyiku L. Robinson

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    Am sorry to say this, Lema kila siku ya Mungu umetuthibitishia upuuzi wako, ujinga wako, uwezo wako wa kitoto nia yako ya kushindana na watu usiweza kushindana nao kwa namna yeyote ile. Ni kweli usiopingika kuwa unatumika sana sasa hivi ama kwa kujua au kwa kutojua kwa ahadi uijuayo...
  18. Meitinyiku L. Robinson

    Mwanamke aliyepigwa Risasi ampa RPC Arusha wakati Mgumu...

    Toka jana jioni wakazi wa jiji la Arusha wameendelea kuwa katika taharuki na minong'ono hapa na pale kutokana na tukio la kupigwa risasi binti mmoja aitwaye Violeth Mathias katika ofisi za TRA Arusha. Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea si tu Arusha bali katika Taifa hili...
  19. Meitinyiku L. Robinson

    RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

    Unaona ulivyo kenge maji........ Kwa hyo kama kazaa na nduguye that will never legalise upuuzi anaoufanya Mulongo..... Spora kashasema hana shortcuts and that is she... Monduli wanamfahamu, Mkuranga wanamfahamu, Tabora wanamfahamu. Sasa hizi hoja zako za kipuuzi zipeleke huko huko zikamfariji...
Back
Top Bottom