Search results

  1. feis buku

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Ghalib baba mi nikijana Wa kitanzania naomba ajira kwako Tafadhali.achana na wana Wa maneno waliozaliwa wanasema.nawasilisha.
  2. feis buku

    Nyumba za kisasa zenye uzio zinapangishwa Kinondoni Block 41 behind Airtel HQ

    Ni nyumba ya aina gan ..yan vyumba vingapi na sh ngapi kwa mwezi?!
  3. feis buku

    Taa za solar

    Wapendwa taa za solar *inacharge kwa mwanga Wa jua* *inacharge kwa umeme pia* *inaswich mianga miwili* *inacharge simu pia* *inatumika si chini ya Massa 15* *kwa sh 30,000/ tuwasiliane 0715053339* KARIBUNI
  4. feis buku

    Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

    Msamehe,muoe na mfanye maisha upya.
  5. feis buku

    Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

    5 years kwenye mahusiano...!!!!
  6. feis buku

    Hivi Hata Kina Dada Huwa Mnaambiana

    Ukiona mtu anafikia hatua hiyo ya kuyatoa ya chumbani na kuyaleta barazani....muombee
  7. feis buku

    Ijumaa ndo hiyooo.........cheki hapa!

    nipo siriaz ila pm sikujui mkuu...
  8. feis buku

    Kwa anayejua namna ya kuomba exemption kwa halmashauli unapoingiza gari.

    Lazima ukue registerd na uwe na sababu ya kupata vat exemption hawatoi tu kama karatasi mkuu.
  9. feis buku

    Ijumaa ndo hiyooo.........cheki hapa!

    sema hakya mungu...
  10. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Basil Mramba - ''Ndege ya Rais Lazima inunuliwe, ikiwezekana hata Wananchi wale Nyasi shauri yao..''
  11. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Ben Mkapa Rais--'' Ununuzi wa Migodi kwa Njia za Ajabu na Watu wana.....Wivu wa Kijinga''
  12. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    John Magufuli --'' Wana Kigamboni Pigeni mbizi kama mkiona Nauli ni Kubwa''
  13. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Jk-- ''Huyu naona ajali kitu tumuache kesi zake ni kubwa tuiachie mahakama kuu- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!''..................
  14. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Mkulo -- ''Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo''
  15. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Mwantumu Mahiza - ''Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana''.
  16. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Nape - ''Tutawashikisha ukuta ''
  17. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    Wassira -'' Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua ''
  18. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    OCD Arusha - ''Wakazi wa Arusha ni mapanya ''
  19. feis buku

    Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

    ''Viherehere vyao kupata mimba''....JK
Back
Top Bottom