Search results

  1. M

    Polisi Chang'ombe wameanza kuuza "hisa"?

    Katika hali ya kushangaza polisi kituo cha Chang'ombe wameanza kuuza hisa kwa wahalifu ili nao wawe sehemu ya jeshi hilo. Hii iko hivi, kuna watu wanatengeneza document feki za kuibia mizigo bandarini na kwenye ma godown mbalimbali. Wakifanya dili hii polisi huabarishwa lakini polisi humuachia...
  2. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    wewe ndiye kichwa maji kabisaaaaaaaaaaaa kama mimi! unafikiri NL anaipenda hii habari? Wana mtandao walipanga kuharakisha kifo cha N, na NL alifanya sherehe na wenzake kufurahia ushindi, habari hii asingependa kabisa kuisikia kwani inamuharibia sana. Wanamtandao wote walioshiriki na kuhudhuria...
  3. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Tofauti ya watu wenye akili na mbumbumbu ni kuwa wenye akili hutafuta chanzo cha matatizo yao, kutafuta ufumbuzi na kuzuia yasitokee tena wasio na akili na wavivu wa kufikiri huchukulia kila kitu kuwa kudra hivyo humuachia Mungu kuwaongoza hata kama tatizo ni kuvuja kwa nyumba wanayolala
  4. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    ukweli ndio msingi wa kuleta maendeleo unayoyataka, unapoukataa ukweli jua utakaa karne hata kumi bila kupata hayo maendeleo, kama ambavyo huwezi kujenga nyumba bila msingi ndivyo hivyo huwezi kuwa na maendeleo bila ukweli, ndio maana nchi zilizoendelea wanazidi kutumia tekinoljia kutafuta...
  5. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    wajinga tupo wengi kweli, hatutaki haki itendeke kwa vile tu muda umepita na aliyekufa harudi, hivi mtu akimuua baba yako, kaka yako au nduguyo yeyote wa karibu utasema mwacheni aendelee na sgughuli zake maana mfu hafufuki? utumbo mwingine haupaswi kabisa kusemwa mbele za watu. yapasa tujipime...
  6. M

    Bodi ya mikopo imepata wapi mamlaka haya?

    Hivi karibuni Bodi ya Mikopo ya wanafunzi (HESLB) imetoa majina ya wadaiwa sugu ambao hawajaanza kukatwa kile kinachoitwa 'mikopo yao' kwa mujibu wa sheria ya bodi ya mikopo kifungu cha 9 ya mwaka 2004. Wanaodaiwa wengi ni wale waliomaliza chuo kati ya mwaka 1994 mpaka 2005. Katika majina bodi...
  7. M

    Nape asusia kikao cha CCM

    Mimi nafikiri suala si kujipambanua au kujitofautisha na wengine ndio lengo, lengo ni kufanya siasa na chama cha siasa kama taasisi nyingine yeyote haiwezi kukosa migongangano kwani migongano ndio inayoonesha uhai wa taasisi na uwezo wa watu wake katika kufikiri hoja tofauti kwa muelekeo...
  8. M

    Nape asusia kikao cha CCM

    Mimi sioni tatizo lolote la CCM kama chama cha siasa. CCM inajua fika inachokitaka na inajua kucheza karata zake vizuri inafanya siasa. Napa nae kama mwanasiasa alicheza karata zake vizuri akafika hapo alipo leo na kuwaacha mbali wapinzani wake waliomfanyia mtima nyongo kule UVCCM. Hakuna ubaya...
  9. M

    Nape asusia kikao cha CCM

    Sasa hapa ndio umesema nini? Hebu soma tena ulichokiandika uone kama hata mwenyewe utaelewa. Angalau umeonesha una kitu unataka kukisema lakini muhemuko na mapenzi yamekuzidi mpaka ukashindwa kujipanga na kukieleza ulichotaka kisema, au pengine kuchanganya lugha mbili ndiko kulikokuponza. Tumia...
  10. M

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Je akifukuzwa utakuwa tayari tuje tuyaguse masaburi yako maana umeonekana unaapa kuwa hilo haliwezi kutokea. Sema watu mchana huu tukutafute
  11. M

    Tanzania imetumia zaidi ya bil 5 kununua mitambo ya kuingilia matangazo ya tv, radio na simu

    Jamaa wanaufanyia majaribio ya kufa mtu kwa watu. Kuna dogo mmoja walim plant aokote begi la dola feki kule morogoro wamekuwa wakimutumia kama majaribio baada ya kumtia hofu anatafutwa. Dogo amekuwa on Run kwa muda mrefu sasa na simu za ndugu na jamaa zake zote wame zibug, kuna muda walimkamata...
  12. M

    Wanyamwezi wa Urambo!

    Ndugu yangu hii picha ya stesheni karibu initoe machozi. Hakuna kilichobadilika hata rangi ya jengo ni ile ile aliyoiacha mkoloni. Ile barabara ya kuelekea sokoni nayo ni hivyo hivyo. Nasikia uchungu sana kuona kwetu hakukui hakubadiliki. Kuna mwana jamii mmoja baada ya uchaguzi wa Igunga...
  13. M

    Sio sawa kabisa dhifa za taifa kuonyeshwa kwenye tv

    kudadaddadadeki mimi nilifurahia sana ile dhifa kuoneshwa katika tv, kilichonifurahisha ni kujua kuwa kumbe charles ni mtoto wa mfalme. Hongereni tbc kazeni uzi hapo hapo. Prince charles mwana wa mfalme. Hongera amina mollel ulifanya kazi nzuri sana mpaka ukaishiwa pumzi, wewe kweli uko fiti na...
  14. M

    Ilala wanajuta kumchagua Zungu wamtamani Godbless Lema

    Ndugu yangu mimi Ilala si mkaazi wala mtembezi nimeenda kwenye kikao afri centre watu wamekutana nao wanafanya mkutano wao, familia ushirini za ilala kota zinahamishwa lakini wananchi wanadhani hiyo ni janja ya nyani ya kuwagawa lakini mwishi Ilala kota yote itakuwa historia, wamejipanga kumuona...
  15. M

    Ilala wanajuta kumchagua Zungu wamtamani Godbless Lema

    Wakazi wa ilala mchikichini ambao wameeamriwa kuhama ndani ya vibanfa vyao vya chumba na sebule walivyokuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 40 wamemtani godbless lema awe mbunge wao ili awatetee kwani mbunge waliyemchagua zungu ameonekana "kuwekwa sawa" na kushindwa kuwatetea. Mmoja wa wananchi...
  16. M

    Clouds fm inaliangamiza taifa

    Radio Clouds isipoangaliwa italiangamiza taifa. Radio hii inayojinasibu kuwa ni radio ya vijana haina jambo la maana zaidi ya kuwajrngea watanzania utamaduni wa kitumwa, utamaduni wa kuthamini utamaduni wa nje hasa wa Marekani na watu wa Marekani. Utamaduni ambao umepelekea vijana wengi wa...
  17. M

    Salma Kikwete ni first lady tu au naibu waziri mkuu?

    Hajjat Amina alikataa kumsomea taarifa wala kumuandalia mapokezi akidai hana bajeti ya kufanya hivyo ona kilichomtokea amemwagwa! Wakuu wa mikoa ni mouse girl na mahouseboy wa mke wa rais wetu huyu hapa
  18. M

    Bodi ya mikopo imetuokoa wanyonge

    Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition...
  19. M

    Are tall men more desirable??

    kazi kwelikweli
Back
Top Bottom