Search results

  1. Doltyne

    HTC Sensation XL Inauzwa Sh 380,000/= Tu

    upgraded to One X+.
  2. Doltyne

    HTC Sensation XL Inauzwa Sh 380,000/= Tu

    Nauza HTC Sensation XL 8GB, 4.7 Inch Touch Screen, Beats Audio, 8Mpx Camera, Android 2.3, HTC Sense 3.5, 1.5 GHz Scorpion Processor, 768 MB RAM, 3G + WiFi, Bluetooth etc Smart Phone. BEI 380,000 HAIPUNGUI. Piga Namba 0714881500 Kwa mawasiliano Zaidi. NB: SIMU IMETUMIKA KIDOGO SANA...Inakuja na...
  3. Doltyne

    Brand new house for SALE!!!

    Wash basin ya gharama na quality unaweza kupata kwa laki5, sasa unataka kumpunguza mtu mil 115 kwa sababu ya washbasin? Ofcourse material yaliyofanyiwa finishing ni ya gharama ndogo kidogo, ila angalia huo mtaa kama unaona vizuri, Ukuta tu ni kama 12m kuujenga, paving blocks hapo na garden...
  4. Doltyne

    Slightly Used 60Watts Solar System For sale at 400,000Shs Only

    Nauza Solar System ya Watts 60 Kwa bei ya kutupa kabisa sh400,000 Nimeitumia miezi sita tu, na kuiondoa nikafunga system kubwa zaidi. Naiuza kwasababu imekaa tu nyumbani sina kazi nayo. System hii inakuwa na 60 Watts Poly Solar Panel, 65ah Dry cell Battery, 150ah power Inverter na 6ah Charge...
  5. Doltyne

    Comapaq CQ58 Laptop Inauzwa 700,000 tu. (LIKE NEW!!!!)

    Compaq CQ58 Laptop Inauzwa Laki Saba tu (700,000) Imetumika kidogo sana (Kwa matumizi ya Adobe CS6 zaidi), inakuja na box lake na kila kitu kilichonunuliwa nayo. Inakaa na battery masaa matano, 4GB Ram Intel (R) Pentium (R) CPU B980 @ 2.4GHZ (2CPUs) Intel HD Graphics 1664 MB RealTek High...
  6. Doltyne

    Gari mazda mpv 2000 inauzwa

    Nilishaiuza hiyo gari almost two years ago na niliyemuuzia haijawahi msumbua hata siku moja, ni mtu tunafahamiana na nilimwambia kabla ya kumuuzia. Sometimes what works in Bongo, does not work anywhere else...Huu ndio ufundi wetu wa kuchokonoa... Fundi kama hajui kitu anabadili system tu...
  7. Doltyne

    Gari mazda mpv 2000 inauzwa

    Nimeitumia hiyo gari kwa muda wa mwaka mzima, sijawahi kupata tatizo lolote serious, Kuna siku ilioverheat nikaipeleka kwa mtaalam akatoa thermostat ndio sikufungua tena chochote. Ni gari moja nzuri sana kwa familia... Bora kuliko Hata noah... Nimeshaiuza na niliyemuuzia anaitumia mpaka leo na...
  8. Doltyne

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Hapo nakuunga mkono asilimia 100. watanzania wengi wanaangalia gharama ya mwanzo, na bila kujali gharama zitakazokuja baada yake. Nakumbuka mwaka jana niliagiza Carina Ti, niliendesha miezi miwili nikaenda kubadilisha tyrod na ball joints, tangu siku hio nikasema sitanunua toyota tena. Toyota...
  9. Doltyne

    Motorola Razr XT910 for sale at 550,000 Tshs only

    Motorola RAZR at a glance: CALL 0655819081 FOR MORE.... General: GSM/GPRS/EDGE 850 / 900 / 1800 / 1900, UMTS 850 / 900 / 1900 / 2100, HSDPA 14.4 Mbps, HSUPA 5.76 Mbps Form factor: Touchscreen bar phone Dimensions: 130.7 x 68.9 x 7.1 mm Weight: 127 g Display: 4.3" 16M-color qHD (540 x 960...
  10. Doltyne

    toyota hilux double cabin inatakiwa haraka

    Ndugu Najua unahitaji Hilux Double cab, ila kwa budget hiyo TOYOTA NZURI UNAWEZA KUSUBIRI SANA... Kama Vipi Nicheki tufanye biashara kwa MISTUBISHI L200, 2.5cc TURBO DIESEL, IMETOKA LEO BANDARINI, NDIO KWAAANZA NAIBANDIKA NAMBA KESHO... BEI 20m, Picha na maelezo mengine Icheki hapa...
  11. Doltyne

    Double Cab Pick UP!!!!..... Just Imported for sale

    MITSUBISHI L200 4LIFE, MANUFATURED IN 1999....JUST IMPORTED TODAY 17/07/2013 FROM THE UK, DUTY PAID, COMES WITH BLUE AND SILVER, 2.5cc TURBO DIESEL, MANUAL TRANSMISSION, DOUBLE CAB WITH MATCHING CANOPY, AIR CON, ALLOYS, ELECTRIC WINDOWS, POWER STEERING, GOOD TYRE ALL ROUND, A VERY NICE EXAMPLE...
  12. Doltyne

    Nafasi za Kazi Mbali mbali

    NAFASI ZA KAZI NA ZABUNI (TENDA) - East Africa's Online Community Forum | Maskani.co.tz
  13. Doltyne

    Karibuni Maskani

    Karibuni sana Maskani wana JF Maskani - East Africa's Online Community Forum | Maskani.co.tz
  14. Doltyne

    Nissan Avenir, 2005 Model, 1.8cc Inauzwa 8,000,000Tshs TU

    Sorry Gari IMESHAUZWA.
  15. Doltyne

    Nahitaji gari aina ya ist.

    Ndugu usihangaike na magari yaliyopigwa NYUNDO na mafundi wetu wa uswahilini... Ingia hapa Toyota / IST - Japanese used cars exports and Japan car import / 2004 chagua unayoitaka, Lipa kwa PAYTRADE... Utatumia MAX 3000USD mpaka dar, ambayo ni mil 5 kasoro laki chache, Ikifika Utalipa Ushuru kama...
  16. Doltyne

    Toyota corona for sale

    2m hata TVS King (Bajaj) Used Hupati. Bora Muuzaje akate skrepa atapata zaidi ya hizo.
  17. Doltyne

    Nissan Avenir, 2005 Model, 1.8cc Inauzwa 8,000,000Tshs TU

    ******this car is now sold******gari hii imeshauzwa*******
  18. Doltyne

    Part time Data entry clerk Needed asap.

    Asanteni kwa ushirikioano. Nafasi imeshapata watu waliokuwa wanahitajila. If you are still interested in working with us, PM me, for other upcoming opportunities.
  19. Doltyne

    Part time Data entry clerk Needed asap.

    Hakuna shaka ndugu, najua Kuna watu waelewa kama wewe wengi sana. Huyo jamaa anadhani kazi ni mshahara tu? Anaweza kuspend masaa matatu facebook kwa siku anasoma upuuzi na kujadili udaku lakini akiambiwa afanye kazi hiyo hiyo kwa laki mbili.kwa mwezi atalalamila.
  20. Doltyne

    Part time Data entry clerk Needed asap.

    Unajua maana ya part time? Unajua skills na faida atakazopata kwa kuwa mtafiti? Hii ni kazi ya kucopy na kupaste sasa kama unataka ulipwe milioni kwa kukaa nyumbani kwako na laptop unapaste habari sijui tukuiteje? Au unataka per diem? Manaake graduates wanalipwa laki 5 serekalini kwa kutarajia...
Back
Top Bottom