Ni matumaini yangu wazima wa afya tele.
Tumshukuru Bwana Mungu wetu kwa hilo.
Nina mdogowangu alimaliza form 4 mwaka 2010,
alipata div 3 ila hatukuweza kumpeleka popote kulingana na uchumi wa familia yetu,
kwa sasa amepata mfadhili wa kumsomesha chuo na
anataka asomee mambo ya laboratory...
Kaka hapa kuna habari za kusua sua hazina uhakika kabisaaaaaaaaaaa.
Kuna mmoja aliniambia walishaita zamani na wanapiga mzigo,
Mwingine akasema bado hawajaita kwani wanasubilia fungu toka............., sasa sijui nani mkweli????
Mwenye habari za uhakika hapa tunaomba atujuze.
Pole sana Baba,
Nimefurahishwa sana na ujasiri wako,
Ninashukuru kwa kutupa short story ili nasi tuwe na uvumilivu na mitihani tunayoipata, ni kweli tukipata baadhi ya mitihani tunakata tamaa kabisa na kila kitu na tunaona kwamba sisi ndio tulioonewa, lakini kumbe wapo baadhi ya watu miongoni...
Umenena kweli ndugu yangu,
Lakini wakulaumiwa sijui ni nani, hebu tujiulize ni:-
Wananchi wanonunua ardhi bila kujua kuwa hapa panafaa au lah?????
Na wanapotaka kujenga wanajenga bila kuchunguza eneo?????
Au wanawaita hao wanaoitwa makandalasi na kuona hili eneo halifai
huwapa taarifa kuwa...
Kwahiyo wewe unachomaanisha hapa ni kwamba huyo mwanamke aliolewa na mwanaume
ambaye sio chaguo lake?????? Au uvivu wake wa kushindwa kuwajibika.
Nilivyoelewa mimi tatizo ni kuzaa nje ya ndoa.
Mbona majukumu ni mengi tu kaka yangu yanayomuhusu mke,
Hivi bila kukaa vizuri na mumeo, kumsikiliza ushauri wake,
kupanga maisha yenu ya baadae, kuratibu mikakati yote ya nyumbani,
bashasha na Mashamsham yanayohitajika kwa mke kumfanyia mume,
hicho chakula kilichopikwa na dada...
Kaka Eiyer,
Bila kuishi na mume utalea familia????, Ukijua namna ya kuishi na mume ndio familia yenyewe.
Unaposema "Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia"
"Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.