Search results

  1. D

    Wale walopata mkopo batch ya 2.

    Akhsante mkuu kwa taarifa hizo muhimu. Niwasihi wana Jf tupende kujuzana pindi taarifa za muhimu zikitoka kama hizi za HESLB.
  2. D

    Wale walopata mkopo batch ya 2.

    nasikia wengi waliopata batch ya 2 waliwasilisha barua za malalamiko mapema pamoja na viambatanisho.Nataka kujua walifanyaje?
  3. D

    Wale walopata mkopo batch ya 2.

    Hizo barua za malalamiko mliziandikaje na vielelezo vipi mliambatanisha heslb?
  4. D

    TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    Akhsante kwa ufafanuzi.TUOMBE MUNGU UTARATIBU UCBADILIKE!
  5. D

    Ushauri kwa waliopata mkopo

    ushaur mzur kwa wale 2sio na mkopo.kumbe inabid 2siache hizo nafasi coz 2naweza kupata mkopo baada ya kuappeal!
  6. D

    TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    dah! sasa hiyo shughul.Kilichobak ni kuappeal tu. Naomba hatua za kufuata.
  7. D

    Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote

    inamaana kama huna mkopo hata 7500 ya kujikimu hupat? na accomodation je?
  8. D

    TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    me ninaswal 1 .kama hauna mkopo inamaana hela ya kujikimu, stationary na accomodation unajtegemea au? naomba mnijuze!
Back
Top Bottom