Search results

  1. Biznocrats

    Fursa za kibiashara zilizopo Kenya/Tanzania

    Fursa nyingine hii hapa changamkia Become an owner gratuitously.
  2. Biznocrats

    UNAHITAJI HUDUMA ZA KIUHASIBU mfano kodi, mahesabu, elimu ya biashara, nk utapata hapa!!!!!

    Saafi sana. Watanzania tumeanza kuamka sasa. Na kwa wale wanaotaka kujifunza kutengeneza michanganuo ya mahesabu kwa ajili ya kupata mikopo benki basi hapa ndio penyewe www.rareviewsonline.com
  3. Biznocrats

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    Hivi mtu anapokuombea kifo si inamaana akipata nafasi mwenyewe ya kukuuwa anakuuwa? Huku si ni kupanga njama za kumuua Rais? Kwa nini wahusika wasikamatwe wakajibu mashitaka ya uhaini kwa kupanga mikakati ya kumuua Rais wakati anawajua?
  4. Biznocrats

    Papa Francis agoma kuishi Ikulu

    Matukio yanayopingana ina maana gani? Yeye ni bora kuliko waliomtangulia?
  5. Biznocrats

    Maadhimisho ya miezi mitano toka nile BAN

    Duuh. Hata kwenye dini unakula ban? Basi wewe utakuwa mtu wa motoni:A S shade:
  6. Biznocrats

    NCCR- Mageuzi, PPT- Maendeleo: Uwanja wa ndege Mbeya usiitwe JK International Airport

    Tuna mambo mengi ya msingi kama Taifa tunatakiwa kuyajadili kwa maendeleo ya Taifa letu na sio upuuzi kama huu.
  7. Biznocrats

    Kila mtu wa Kagera anayetofautiana na serikali huitwa mhaini, mchochezi mhamiaji haramu!

    Tatitizo lililokuwa la TANU na sasa CCM si Wahaya, si Wachaga, si Wanyakyusa, n.k. Tatizo la msingi lilikuwa kwa WASOMI. Ni coincidence tu kwamba wasomi wengi wametoka kwenye makabila haya kwa sababu za kihistoria. Wasomi wote duniani wana tabia moja inayoshabihiana. Hawako tayari kuburutwa...
  8. Biznocrats

    Vita ya biashara Del Monte Kenya na Azam Bakhresa Group of companies

    Tanzania kwanza mambo mengine baadaye. Iwe Bakhresa au mfanyabiashara mwingine yeyote kutoka Tanzania lazima Serikali ichukue hatua za makusudi kuwalinda na kuhakikisha wanapata soko nje ya nchi ili mradi bidhaa zao zina viwango vya kimataifa. Bila ya Serikali kufanya hivyo wafanyabiashara wetu...
  9. Biznocrats

    Kisima Cha Mashairi Facebook Group

    MASIKINI NCHI YANGU WAPI TUNAELEKEA? Niwazapo nchi yangu, roho yangu husinyaa Tokea enzi za tangu, mali za kugaa gaa Lakini kuna ukungu, mnene ulozagaa Masikini nchi yangu, wapi tunaelekea? Tumejaliwa na Mungu, kila chenye manufaa Watu, ardhi na mbingu, kote vimetapakaa Bado tuko kwenye...
  10. Biznocrats

    TUJITAZAME katika nafsi na nafasi zetu juu ya UDINI

    UDINI – Bomu la Ujinga linalotarajiwa kulipuka wakati wowote katika nchi yetu Watanzania tumefikia pabaya sana kwenye msuguano wa kidini. TUTAFAKARI, TUCHUKUE HATUA KUTUMIA AKILI ZETU TULIZOPEWA NA MUNGU KABLA BOMU HILI HALIJATUMALIZA Huu hapa ni mtazamo wangu: Jambo hili...
  11. Biznocrats

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Babu na bibi zetu walikuwa na imani zao. Waliishi nazo karne kwa karne mpaka tulipoletewa dini hizi za kuja. Kuna matatizo gani kwenye imani zao kiasi cha sisi kuzisahau kabisa? Kuna dini nyingi sana hapa duniani zikitumia njia mbalimbali kuabudu. Dini zote hizi zinaabudu MUNGU. Nchi za Asia...
  12. Biznocrats

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Babu na bibi zetu walikuwa na imani zao. Waliishi nazo karne kwa karne mpaka tulipoletewa dini hizi za kuja. Kuna matatizo gani kwenye imani zao kiasi cha sisi kuzisahau kabisa? Kuna dini nyingi sana hapa duniani zikitumia njia mbalimbali kuabudu. Dini zote hizi zinaabudu MUNGU. Nchi za Asia...
  13. Biznocrats

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    Shonza soon ataibuka kuwa shujaa wa ubakaji wa democrasia ndani ya vyama vyetu hivi uchwara kutokana na mikakati yake ya kupambana na hali hii. Kiburi cha viongozi wa CDM ndio mtaji wake mkuu. Jinsia yake inampa uwanja mpana zaidi wa kupata support kwenye jamii kwani mashambulizi mengi anayopata...
  14. Biznocrats

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    By REMSA Nilishakushauri wewe binti kosa lako ni kumwacha Yesu kwa kuuendekeza mwili, kumbuka ni wapi ulipoanguka urudi ukatubu,yamkini utasaidika" Hivi hapa unamzungumzia Shonza au Slaa? Kosa linalozungumziwa ni la kumuacha Yesu na...
  15. Biznocrats

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    By REMSA Nilishakushauri wewe binti kosa lako ni kumwacha Yesu kwa kuuendekeza mwili, kumbuka ni wapi ulipoanguka urudi ukatubu,yamkini utasaidika" Hivi hapa unamzungumzia Shonza au Slaa? Kosa linalozungumziwa ni la kumuacha Yesu na...
  16. Biznocrats

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    By REMSA Nilishakushauri wewe binti kosa lako ni kumwacha Yesu kwa kuuendekeza mwili, kumbuka ni wapi ulipoanguka urudi ukatubu,yamkini utasaidika" Hivi hapa unamzungumzia Shonza au Slaa? Kosa linalozungumziwa ni la kumuacha Yesu na kuendekeza mwili. Ninavyofahamu mimi Slaa...
  17. Biznocrats

    Mahojiano yangu na Mtanzania: Nitagombea uenyekiti wa BAVICHA

    Hivi hapa unamzungumzia Shonza au Slaa?
  18. Biznocrats

    Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

    Unafiki wa Mengi unatoka wapi hapo?Huyu ni mtanzania mzalendo na ana haki ya kutoa maoni yoyote katika jamii inayotuzunguka,hivi kusema ukweli ni unafiki?Wala rushwa katika nchi hii wanajulikana,kwa nini tuzunguke kiunafiki na kila mara tunaambiwa mwenye ushahidi aulete,upi huo?TAFAKARI CHUKUA...
  19. Biznocrats

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    Mtu yeyote mwenye akili timamu akisoma majibu yako ataelewa kwamba uwezo wako wa kuchambua hoja ya mtu na kuijibu ni chini ya ZERO. Watu vilaza kama wewe huwa ni mabingwa wa matusi hivyo sishangai kuamua kutukana badala ya kujibu hoja za msingi nilizoziainisha.
  20. Biznocrats

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    Kama huna hoja kaa kimya. Sina mda wa kulumbana na mijinga kama wewe.
Back
Top Bottom