Search results

  1. J

    Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    huwa nashangaa sana taasisi nyingi za kiislam zinatumia nguvu kubwa kushusha hadhi ya Nyerere, haiwajengi kama jina.mnazidi kuharibu watoto wenu,bora mngewafunza elimu ya dini wanenu,hawajui hata historia ya uislam,ndo mana wanafurahi kudhani wanatudhihaki kutuita wagalatia. mgefanya la maana...
  2. J

    Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    ndugu Leo mfereji hauvuji?, natania tu. nini,nani Baba WA taifa? rejea Baba WA taifa nchi nyingine za afrika,ni wa aina gani? acheni kukuza mambo, Mbona hao wazee wenyewe hawajawahi lalamika? kumlea na kumtunza mpigania uhuru kunakufanya uwe Baba WA taifa?bac yule bwana jela alikokaa Mandela...
  3. J

    Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    ndugu, nahisi kama wewe ni Mzee WA mifereji. kama mwaka Jana ulikuwa unavisit jf mada kama hii ilishaanzishwa,na wenye hekima zao waliijibu vyema sana. rudi kasome mgogoro WA biafra upya na msimamo WA mataifa kadhaa kuhusu mgomo huo kipindi hicho. Ila angalia has msimamo WA mataifa mengi ya...
  4. J

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    nimefautilia kwa makini ishu za zzk,hana tatizo cdm. kasoro yake ndogo nikutokumuangusha rais kikwete directly,kamwe hawezi fanya hivyo,lejea matukio mengi. pia nafurahi kikwete kamuacha free afanye siasa,anamuhitaji marachache amnusuru yeye binafsi,na wala cyo kuinusuru ccm. pia zzk hampi...
  5. J

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    watanzania wengi tuwavivu WA kufikiri,akili zetu zimeganda na wengi wetu tunakosa hata common sense, naona wanaccm wenzangu wengi wanawakilisha hilo kundi kubwa la watz wavivu akilini. jamani kamati kuu mgeongeza msukumo kwa watendaji WA serikali kuanzia rais hadi kijijini. tujifunze kwa ANC...
  6. J

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    umeandika ujinga, uwanja ukiwaunajengwa fasta ni sababu ya pinda?!?shida WA kaskazini mmejaa jamvini, hoja za kibaguzi za kikanda hammkemei. anzisheni nchi yenu ya kaskazini kama alivyoshauri Joshua nasari. shida mnapenda kila kiongozi Mkubwa atoke kaskazini I li mtaifishe zaidi. mnamsakama...
  7. J

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    nilipomaliza kusoma hii nikarudi SOMA I'd ya muanzishaji nipate hisia anaweza kuwa anatokea kanda ipi, I'd imeakisi nilichokuwa nahisi. acheni ukaskazini jamani.mmetafuna vya kutosha na bado mnaendelea kutafuna Ila hamridhiki. kanda zingine zikigawiwa kidogo mnabekwa ovyo, kisa mnamiliki...
  8. J

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Naona wana CCM wenzangu mnafarijiana humu eti CDM inakufa sasa,huku wengine mkiigiza wana CDM mloanza vunjika moyo,tuendelee kujifariji. Ila ninachojua CDM inapendwa sana, muulize mwenyekiti WA chama. Mwaka 2010 kama kungekuwa na tume huru CUF Zenji na CDM bara ndo walishinda uchaguzi...
  9. J

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    napeeeeeeeeeeeeee!! hongera bana kwa kwa kazi ya ukiranja ulopewa an JK kuchalaza magamba viboko. Ila binafsi huwa siamini wewe unanguvu ya kisiasa kiasi hicho unachotembea kifua mbele. sikuombei njaa, ila nasubiri JK aachie uongozi nione kama utamaintain hiyo political power uliyinayo...
  10. J

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    kwangu mkapa nae ni gamba, yaani hao mapacho watatu wanawaonea, ilitakiwa kuwa mapacha wanne. na kwa hizi tuhuma za kikwete ane ni gamba, tena namba 1. nape aanze kuimbisha wimbo wa mapacha watano(i.e mapacha watatu remix). wenye ujuzi hata kidogo wa udaktari wa binadamu wanajua kwamba mgonjwa...
  11. J

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Ben M!! sina hamu nae, shauku ya watanzania kujimilikisha mali za umma kadri inavyowezekana iliongezeka sana utawala wake, ni attitude mbaya sana aliijenga miongoni mwa vijana. binafsi aliboa,na ataboa milele. Ila namkubali upande wa mipango, aliibadirisha kabisa TZ ikapiga hatua kimaendeleo...
Back
Top Bottom