Search results

  1. M

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Hiyo nguvu mbona haikusaidia rafiki yake kipenzi asionsoke duniani? Au anajua tu kuangamiza hajui maombi ya kuokoa.
  2. M

    Je, Uwekezaji wa Vietnam Katika Korosho Mkoani Mtwara una tija kwa Taifa letu?

    Watu wanasahau kua serikali ilishaingia kwenye uwekezaji wa viwanda vikafa. Mwaka 2018 serikali iliingia kichwa kichwa kwenye kufufua kiwanda cha korosho kilichowashinda wawekezaji Lindi kilichotokea Mungu ndo anajua.
  3. M

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Kwa taarifa yako dalili za uwekezaji wa gesi zishaanza kuonekana.Ndani ya miaka mitano ile kauli ya kua mwanza haitokaa izidiwe na mkoa mwingne zaidi ya dar itaisha.
  4. M

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ndugu yangu punguza mbwembwe, mradi wa LNG Lindi utakua na thamani ya trion 70 au zaidi wakati GDP ya mwanza ni trion 10.95. Baada ya huo mradi kuanza sio kwamba mwanza itapitwa hata dar itasubir kwa Lindi. Bagamoyo Business Park(inakadiriwa na trion 20+) pwani itaizidi mwamza kwa GDP ikitokea...
  5. M

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Hata huo mwaka wanaousema ni ule mwaka Jiji la dodoma liliuzauza viawanja kwa wingi kwa sababu ya watumishi wengi walikua ndo wamehamia dodoma. Sasa hivi huwezi kukuta tena takwimu za dodoma kuongoza.
  6. M

    INAUZWA Vanilla Fruits kutoka Morogoro inauzwa

    Unajipanga kwa ajili ya mwakani maana likishaanza kuzaa ni endelevu. Ila hili ndio zao ambalo matunda yakikomaa kama una mzigo mkubwa inabidi uweke walinzi wenye silaha za moto mpaka utakapovona.
  7. M

    INAUZWA Vanilla Fruits kutoka Morogoro inauzwa

    Kabisa. Serikali isipoingilia kati hii fursa itakua ngum watu kuwekeza maana kuna watu wanatumia mpaka walinzi wenye silaha za moto lakini bado wanaibiwa.
  8. M

    INAUZWA Vanilla Fruits kutoka Morogoro inauzwa

    Sasa hivi bukoba wakulima wengi wa vanilla ikifika wakati wa mavuno ni shida maana wezi wanakuja na silaha za moto.
  9. M

    Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

    Wewe endelea na yanayohusu maisha yako usituchagulie cha kujadili maana hakuna aliyekuja kukuomba umkwamue.
  10. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisarawe 2 Miguu 25*30

    Miguu inatofautiana ukubwa kati ya mtu mrefu na mfupi. Ukiwa unatangaza bidhaa kama hizi tumia kipimo cha mita ndo kipimo kisichobadilika.
  11. M

    Issue ya Moo italipuka soon

    Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweli
  12. M

    Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

    Hivi aliyesema hawezi kugombea ubunge kwa sababu utumishi wa Mungu ni mkubwa kuliko ubunge ndo huyu huyu au mwingne
  13. M

    Dhambi ya Ubaguzi: Wafanyakazi the Guardian walalamika Wahindi kununuliana magari huku wafanyakazi wakilazimishwa kuwa vibarua

    Wamiliki wa The Guardian ni weusi kama wamewaamini wahindi kiasi hiki inamaana mleta majungu ana tatizo lingne tofauti na haya. Hakuna kampuni inayoweza kuajili mtu asie na sifa vs mtu mwenye sifa.
  14. M

    Kwani Kikwete anasemaje kuhusu Masheikh wa Uhamsho?Hakuna jambo alielekeza wakati akiwa madarakani?

    Weka kwanza kumbukumbu sawa babu sea alihukumiwa kifungo mwaka 2004 kipindi hicho Jk alikua wazir wa mambo ya nje, kwa hiyo kama ni kufungwa alifungwa na raisi aliyekuwepo madarakani wakati huo.
  15. M

    Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya

    Watu wanaongelea gasi wakati imeshapatikana. Mikataba ya awali inaanzia kwenye utafiti(exploration) ambapo terms ni ukipata ni 30-35 kwa investor na 65-70 kwa Tpdc(kwa niaba ya serikali), ukikosa biashara imekula kwako ndio maana investor wengi wa eneo hili ni makampuni makubwa kama state oil...
  16. M

    Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Usichanganye mambo, hii shule haijawai kua ya ccm na ccm haijawai kudai ihungo ni shule yake.
  17. M

    House4Sale Nyumba tatu zinauzwa Chanika

    Kwa hesabu ya haraka kiwanja kikichukua 25m kila nyumba inasimama kwa 90m. Kiwanja kiki kikichukua 35m inamaana kila nyumba inasimama kwa 85m. Nyumba zenyewe nkiziangalia sioni nyumba iliyotumia 30m.
  18. M

    TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Unachanganya mambo wewe, aliyetangazwa na mahakama ni kaka yake anaitwa Ramanlal Motibhai Patel.
  19. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Imeshawatesa kwa mda wa miaka minne iliyopita tokea alivyoondoka Mascherano. Na uongozi ulivyo wa hovyo inavyofikaga kwenye usajiri wanahangaika kusajili safu ya mbele
Back
Top Bottom