tanzania bana tunkoelekea sio kwema cjui umhimu wa hizo safari mbona mseven kibaki na nchi zingine hawasafiri kiasi hicho na nchi zao zinapiga hatua ktk maendeleo ce nyuma tunarudi
Wala CAG, Cshangai kufikia hapo, kama wanaweza kuwaamuru majaji kufanya maamzi, hata yeye anaweza kuwa hvyo, make ndo mara ya kwanza nasoma report ya CAG, iliyokisiasa zaidi, haku2mwa kwenda kuchunguza usahih wa figure, pia kwa kanun za fedha kuna utaratibu wa ku2mia fedha nje ya budget cjui ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.