Search results

  1. M

    Mbunge Godfrey Lema Atishiwa Kuuwawa....

    Ndugu yangu acha dharau makabila watu,na unaonekaana haupo makini ZM amenukuu Habari leo
  2. M

    Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    Kujitapa kwa sasa kua umwana CcM ni sawa na kujitapa kua umjanga huku ukitembea uchi
  3. M

    Uteuzi wa Sioi batili - Wajumbe UVCCM Arusha

    Hii ni faida kwetu CDM wacha waendelee kuraruana sisi tunasonga mbele zaidi
  4. M

    Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

    Ndio kazi yao kupeana vyeo ccm,haya dogo ngoja uje ukutane na lidume la ukweli la CDM
  5. M

    CHADEMA jimbo la Segerea yapata viongozi wapya,wasomi na makini

    Hongereni sana viongozi wapya nitawapa ushirikiano zaidi
  6. M

    Ccm yabwagwa chini na cdm-sengerema.

    Hongera mwenyekiti CDM hongereni CDM wenzangu
  7. M

    Waalimu mmeona mfano?

    Na hili litaendelea sana tu,maana wakifaulu serikali itajigamba oooh tumefanya hivi na vile sasa cha msingi nikupiga blabla class
  8. M

    CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

    Jitu Jizi na Watz wengi wanamjua huyu bwana ati leo tena aongoze campaign watu werevu wa Arumeru? Kweli akili za vijana cku hizi zimeingiliwa na Mafisadi,endeleeni na ujinga wenu
  9. M

    DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

    Kazi imebakia kwa Sitta sasa kusema yote måna lazima haya maneno yake aliyasikia kwa swaiba wake Mwakyembe
  10. M

    Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

    Nilitegemea kauli kama hii kwa kiongozi makini mwenye Maono ya mbali Mh Dr WP Slaa,unahitajika sana na waTz mkuu wangu Dr Slaa.
  11. M

    Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

    .. MaximumMagambas at work,tatizo lenu nyie wana Magamba mnaiogopa Chadema pia mnamuogopa sana tena sana Dr WP Slaa na mjue imekula ndie tumtakae zaidi 2015
  12. M

    Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

    Yote haya ameyasababisha Jk mwenyewe kwa kuyabeba majizi ya rasilimali zetu,inauma sana kwa kweli jinsi wanavyotuibia pesa zetulakn huu mpango upo chini ya mkulu hili lipo wazi
  13. M

    mvomero kwa kuchakachua pesa za kujikimu

    Da kazi ipo,hapa Kigoma Vijijinitumepewa 135000 Shahada na 90000 kwa Stashahada na Cheti then wanatuambia eti mpaka Wiki lijalo ndio watatupatia kwa kweli hali ni mbaya sana,hela ya mizigo tumeambiwa eti hakuna yaani watumishi wa Halimashauri ni wezi wakubwa plus hii serikali
  14. M

    Mabadiliko Katiba ya CCM Yamelenga Kumwengua Lowassa

    Huu mpango ukiwa hivi basi itakua safi kwani huyu Fisadi simpendi hata kidogo.
  15. M

    Mabadiliko Katiba ya CCM Yamelenga Kumwengua Lowassa

    Huu mpango ukiwa hivi basi itakua safi kwani huyu Fisadi simpendi hata kidogo.
  16. M

    Jamiiforums raha tupu yani,

    Jicho lipi mkuu? nilisahau password na ndio matatizo ya kusave password
  17. M

    Jamiiforums raha tupu yani,

    Hahahahahahaha umejuaje mkuu,nmesahau mzimaPassword nao Invisible hawajanijibu mpaka muda huu
Back
Top Bottom