Search results

  1. K

    Kesi ya uchaguzi Kati ya mh. zaituni buyogera vs Nsanzugwanko

    Thanx mtoa mada kutujuza yaliyojiri,vp nasikia shahidi wa Mh Buyogera aitwaye Joseph Hittler ambaye ni m/kiti wa nccr mageuzi amezimia mahakamani akitoa ushahidi?
  2. K

    CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa.

    Itakuwa mashine ya kichaina.
  3. K

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    Anahc watamfuata km DC!huyo msomali anapenda sana kuongoza kwa mkono wa chuma,i had worked with hm somewhere.
  4. K

    Msemo wa Leo....

    Kama una mbio kimbia njaa!
  5. K

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Mvinyo uleule chupa tu ndio mpya,Bendera na Mwantumu muimba taarab hopelec .
  6. K

    PICHA: Mwandoskya atembelewa na Hawa Ghasia - India

    Get well soon mr Mark urejee kukaja ,toka uende matibabu na miradi ya maji nayo imeenda likizo.tumekumic sana mkuu.
  7. K

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Tv zetu zipo kcommercial mkwanja walishavuta so ilikuwa lazima warushe.ukiona vichupx vinakuboa fungua Tvz full maombolezo.
  8. K

    Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

    Hakuna jipya mkutano wa makandarasi,acha wachina waendelee kuconstruct hata wakiharibu km kilwa road wanakubal kurekebisha.wakandarac wa bongo full corrupt kupata zabun wakishapata usanii mtupu.
  9. K

    Kamishna Chagonja aruhusu polisi washughulikiwe

    Siamini kama anachosema ndio anamaanisha,ktk zama hz za polisi jamii kamishna wa operesheni kutoa kauli kama hiyo ni kutokuwa na weledi na kwenda kinyume na philosophy ya bosi wake!
  10. K

    Kamati ya uchunguzi wa Jairo hii hapa

    Huyu Blandes n mwanasheria na alipita kimagumashi sn jimboni kwake, all in all safu ni mbovu nahc walihofu ya nimedhalilishwa sana!
  11. K

    Jairo Kustaafu Karibuni

    Kwa tz hii ya leo hilo linawezekana,zingekuwa enzi za mwalimu Jairo angekuwa m magumu ila kwa nchi hii ya uswahiba zatc possible.
  12. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mjini mipango,unakuja na jembe la nini!
  13. K

    Re; When Lowassa meet Mizengo Pinda- TAFSIRI YA PICHA HII

    lowasa:Mh pm umetuangusha sana umeonekana bonge la kiazi kwa issue ya David? Pinda:Mmmmmh,im inocent to that na ndo maana bunge limeunda kamati teule kama yako.
  14. K

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Thatz makhirikhiri part two,so ina maana Luhanjo alikurupuka kuutangazia umma au kaogopa yacje mkuta ya nimedhalilishwa sana!
Back
Top Bottom