Search results

  1. I

    Wadau Masterbation ni dawa ya mke asiyependa Kufanya tendo la ndoa?

    Wadau kama nilivyoeleza mke wangu hapendi tendo la ndoa mimi nimepata solution fulani ya kufanya masterbation nijiridhishe ili ninapokutana nay basi namalizia tu nakuwa nimetosheka kiasi fulani
  2. I

    Mwisho wa siku...Ilikuwa ni kuangalia tu!

    Pole sana kaka, mimi naona tatizo hapo ni kwamba unaangalia peke yako, inabidi utakpoona mdadad anavuta macho ya muambie mke wako naye aangalie, naamini baada ya muda hiyo tabia itaisha yenyewe, try it
  3. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Kaka sijapanga kuwa na mtoto sasa hivi kabisa, tulijaribu hiyo zamani lakini matokeo alipata mimba wakati ambao sio, naogopa sana hiyo natural familly plan,
  4. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    ameweka kipandikizi mkononi,
  5. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Nashukuru sana dada, kwakweli nimepata a real constructive advice toka kwenu wanajamvi hili la Jamiiforum, naamini nitashuhudia somedays progress ntakazopata. cheers!!!
  6. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Wadau nashukuru sana kwa michango yenu ya halinamali kwakweli nimepata ufunguo wa kwanza,maoni mengi nimeyapokea hapa jamvini nami nachukua yale mazuri nayafanyia kazi nitawapa update baada ya wiki mbili zijazo, wasalam
  7. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    hapana ratiba zake nazielewa, labda muda wa mchana huko ofisini kwake
  8. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Bado umri wetu sio mkubwa kivile tuliwahi sana kuoana, kwa sasa anakaribia 30
  9. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Tunafanya kazi huko mjini na bahati nzuri tunatoka pamoja asubuhi na tunapitiana kurudi pamoja jioni ya kawaida, anafanya kazi nzuri tu tangu 8.00hadi 11.00 jioni, sio kama anachoka sana mana ni office work ambazo sio hectic kivile.
  10. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Kaka Tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida
  11. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    kwakweli sijui kama anafurahi kiasi anchofikiri yeye lakini nina uhakika namfurahisha kadiri niwezavyo,nampenda sana na sijawahi kufanya hii kitu nje ya ndoa yetu tangu tulipofunga ndoa miaka mitano iliyopita. tunapobahatika kufanya tendo kwakweli nampa mapenzi ya uhakika
  12. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Asante sana, nampenda sana mke wangu nimeinvest kuhakikisha nampa raha katika mapenzi, lakini ni goli moja tu basi anakuwa hoi hapendi kuendelea na pia, baada ya hilo goli ni wiki ama zaidi, na ni kwa mikiki, anakuwa na sababu kibao
  13. I

    Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

    sijakuelewa nampenda mke wangu, lakini namna ya kumfanya awe active na kuenjoy hii kitu sina namna
  14. I

    Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

    unashauri nini sasa mkuu
  15. I

    Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

    wa kwangu hapendi habari za tendo la ndoa, yaani nakereka kweli!!
  16. I

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye, nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na dadad tu basi.
  17. I

    Elections 2010 Igunga: Mbowe atua na Helkopta

    Peoples power,,, :fencing:
  18. I

    Not for Profit Company Taxes/fees

    Naomba ufafanuzi, Nataka kufungua kampuni yenye status Not for Profit making Company, Je ni kodi gani au makadirio gani ambayo itanibidi kuyalipa mbali na ada za usajili pale Brella?
Back
Top Bottom