Search results

  1. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Jamani msije shangaa Membe akapata uPM.....
  2. M

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Okey mkuu!una sala zangu leo.All the best ila usipanick huko mana ushindani ni mkubwa sana.
  3. M

    TRA-written interview

    Wana jamvini!kwanza aslam alyekum. Mimi ni mmoja kati ya watu walioomba nafasi zile 40 za assistant customs officer.Kiukweli nilikuwa nategemena sana kuitwa kwenye interview mana nina vigezo vinavyohitajika.Juzi nilipoona hii thread kuwa tra wameshaita watu kwenye interview nilichanganyikiwa...
  4. M

    Kampuni ambayo RIdhiwani ni wakili imepewa kazi ya kuwa mawakili wa EWURA dhidi ya BP

    Wasalaam wandugu, Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Leo nilikuwa naperuzi mada moja inayohusu BP kufunguliwa mashitaka na EWURA. Lakini nilipoona habari hiyo kukawa na jina la GRK Advocates kama mawakili wa EWURA. Sasa nikaamua kuiperuza hiyo website ya hiyo advocate katika...
  5. M

    Ssra - social security regulatory authority vacancies

    Haya wadau wale wenye kuhitaji kazi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ,kazi zimetoka SSRA.japo nimeshindwa kuifungua unaweza angalia kwenye website yao www.ssra.go.tz kisha ingia upande wa employment.Nawatakieni kila la kheri.
  6. M

    Elections 2010 Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani!

    Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo: Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza. Kigoma kusini : Kafulila wa nccr...
  7. M

    Elections 2010 Matokeo ya Kigoma

    Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo: Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza. Kigoma kusini : Kafulila wa...
  8. M

    Elections 2010 Elimu ya Mh. Abood (mgombea urais Znz) ina wasiwasi

    Na kuchangaza , toka jk aingie madarakani, huyu mkuu alikuwa naibu waziri mpaka sasa. Na katika pita pita zangu sijaona popote penye kuonyesha kuwa chuo hichi kinatoa degree za online. Sasa nkuu huyu sijui alikuwa anasomaje , maana ana shughuli za kibunge na wizara, so sidhani kama anaweza...
  9. M

    Elections 2010 Elimu ya Mh. Abood (mgombea urais Znz) ina wasiwasi

    WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA. KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA PUBLIC ADMINISTRATION, SOURCE - Parliament of Tanzania. SASA MKUU HUYU ANASEMA KUWA AMEMALIZA COURSE...
  10. M

    Kazi fbme bank jamani

    KWA KAZI ZA FBME BANK VISIT http://www.fbme.com/careers/
  11. M

    Kazi Zantel, various posts

    kuna kazi zantel, visit http://zantel.com/vacancies.html
  12. M

    Kazi tume ya ushindani (FCC)

    WAWEZA KUZIPATA HAPA PIA http://www.competition.or.tz/fcc_files/public/re_advert_for_counterfeits_director.pdf The Fair Competition Commission (FCC) invites applications from suitably qualified Tanzanian candidates to fill the post identified below. Applicants who had applied for the post...
  13. M

    Kazi tume ya kurekebisha sheria

    kazi jamani, kwa kuwa me si mjanja wa kucopy kwa ufanisi, waweza kuzipata hapa http://www.lrct.or.tz/Job%20Advertisement.pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA LAW REFORM COMMISSION OF TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Law Reform Commission of Tanzania invites applications from...
  14. M

    Kazi Wizara ya maji

    Hizi hapa nyingine kwa wanaotakakuwa ma CEO. UNAWEZA PIA KUZIPATA http://maji.go.tz/userfiles/ddca(1).pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER & IRRIGATION EMPLOYMENT OPPORTUNITY THE DRILLING AND DAM CONSTRUCTION AGENCY (DDCA) 1.0 Introduction The Drilling and Dam...
  15. M

    Kazi wizara ya maji

    Nimejaribu kuicopy ila sina utundu sana wa mambo haya ya mtandao, but u can view it hapa http://maji.go.tz/userfiles/Tangazo(2).pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Permanent Secretary, Ministry of Water and Irrigation invites...
  16. M

    Harufu ya ufisadi Wizara ya Elimu enzi za Sitta

    yaa ni mtoto wake ana pesa utadhani anafunguo za BOT.
  17. M

    Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

    mzee mwanakijiji inaonekana jamaa unamwelewa vizuri.kuna kitu nataka kuuliza.katika pita pita zangu katika hii thread nimeone watu wanamuhusisha na vodacom.Sasa kusema ukweli mimi sijaelewe kwanza - Hiyo planetel ni nini? Ni ya kina nani? Na inafanya kazigani? Na kuyu mteule wetu (noni )...
  18. M

    Harufu ya ufisadi Wizara ya Elimu enzi za Sitta

    Kwa maeneo ya Dar es salaam mi ni mkazi wa sinza, ila kuna siku jamaa yangu mmoja anayeishi maeneo ya masaki alitaka tukutane nami nikaitikia wito wake.Tulipanga na tukakutana Dids bar iliyopo oysterbay opossite Jackies bar. Bada ya kukaa kwa muda nilimwona anaingia mtu mmoja kwa jina la Ben...
  19. M

    Wabunge wasiwe wajumbe bodi za mashirika ya Umma

    Ndo ufisadi wenyewe huo ndugu
  20. M

    Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

    Mzee mwanakijiji, naomba nipe darasa kidogo.japokuwa nafahamu kuwa there is the way huyu mkulu alifacilitate mpango wa EPA.But my question is how?Mana Nashindwa kuelewa jamaa aliitumiaje nafasi yake kuingia kwenye EPA japokuwa najua yumo.
Back
Top Bottom