Search results

  1. lovelove

    Tia acheni ubabaishaji na vyeti vya watu.

    mwambie dogo atulie, sie wa 2010 bado hatujapata! lakini tumeajiriwa na hzo transcript maisha yanaenda.
  2. lovelove

    Vigogo Dar wajiingiza orodha ya waathirika wa mafuriko... viwanja!

    "Eti wanaiuliza serikali waende wapi? kwani sisi ndio tuliwapeleka mabondeni?" mh.mkuu wa mkoa.
  3. lovelove

    Joto la kicha ni kali kuliko mwili kwa mwanangu 1.5 years

    kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
  4. lovelove

    Nitumie njia gani kumuacha?

    baba mtoto rose
  5. lovelove

    Nitumie njia gani kumuacha?

    ok, the boss thanx.
  6. lovelove

    Nitumie njia gani kumuacha?

    mara nyingi 2, c unajua tena uoga bt hakuna lililonipata
  7. lovelove

    Nitumie njia gani kumuacha?

    habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf. nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na...
  8. lovelove

    Kumpiga kibuti mume mkorofi! Muendelezo…….

    mtambuzi mimi ni miongoni mwa hao wa2 unaowasema.nilipost thread hapa wadau wakanishauri sana na nkaamua ku follow my heart. lakini huyu baba mtoto ni mkorofi hataki kabisa kuniacha na kuheshim hisia zangu. ni mateso kwa kweli.
  9. lovelove

    Nisaidieni hii!

    jamani hivi kuna dawa za kuondoa makovu makubwa yaliyotakana na vidonda? kama zipo zinapatikana wapi?
  10. lovelove

    Vazi jipya la CHADEMA

    gud! nmeipenda hiyo!
  11. lovelove

    eti hiki ni kgezo cha upendo wa dhati....

    mmmh! siyo kweli .upendo haupimwi kihivyo
  12. lovelove

    Naombeni ushauri

    nimpotezee yupi cjakusoma!
  13. lovelove

    Naombeni ushauri

    bado mdogo sana ana mwaka mmoja
  14. lovelove

    Naombeni ushauri

    thanx, nshapima niko safe
  15. lovelove

    Naombeni ushauri

    asante kwa ushauri
  16. lovelove

    Naombeni ushauri

    that,s the way it is, no hisia at all
  17. lovelove

    Naombeni ushauri

    thanx kwa ushauri, x anajua kila kitu na yuko tayari coz hata yeye ana mtoto pia
  18. lovelove

    Naombeni ushauri

    nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao <br> hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa&nbsp; and i stiil love&nbsp; him coz tuliachana kwa kupotezana katika <br> kutafuta maisha. so wana jf...
Back
Top Bottom