Search results

  1. J

    Girlfriend wako ana tatizo hili?

    tatizo baadhi ya watu huku JF ni vinega, yaani wanadandia mada bila hata kujua... Pole, me mwenyewe ishu kama hiyo ilishanikuta..nikajitolea mpaka hospitali ila hakukuwa na changes, so sikuwa na jinsi ikabidi tu nichukue maamuzi magumu..usitake kumfurahisha mtu mwingine wakati wewe hufurahi...
  2. J

    Nisaidieni mdogo wangu jamani jamani!!!!

    Mpe pole sana maana hata me nakereka sana mtu akiwa anatoa harufu mbaya hasa mdomoni.....mimi kwa ufahamu na ushuhuda, fanya hivi.... NUNUA MDALASINI PAMOJA NA ASALI....KISHA UWE UNAMPA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI KILA JIONI NA ASUBUHI (KIJIKO KIMOJA CHA MDALASINI NA VIWILI VYA ASALI...
  3. J

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    watu wengine sijui wanaelewa kwa kupigwa mawe vichwani...sasa WAPINZANI wanahusu nini hapo?
  4. J

    Mashine yangu inaninyima raha jamani

    Kaka matusi hayauzwi, ninaweza kukupa moja likakuharibia mood, kwa hiyo mimi nisingependa matusi, kama huna cha kunishauri kaa kimia sio lazima ujibu.
  5. J

    Majina ya waliokuwa shotlisted tpa

    Duh! kwa mwendo huo, kama wewe ulituma cv ujue hata hawakusoma jina lako.........jifunze kuuliza maswali kabla ya kutaka kujua jibu.
  6. J

    Mashine yangu inaninyima raha jamani

    Wanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa sabuni, japo kitendo hiki sikipendi inanibidi nifanye tu hivyo ili kupunguza moto nilio nao. Tafadhali...
Back
Top Bottom