MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu.
Kwa mujibu wa habari za... kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa...
Tokea wamekuwepo hao wanyama wamekusaidia nini wewe na familia yako...!!?? Wanawaacha wanoiba meno ya tembo makontena kwa makontena kila siku tunasikia .
Katika kile ambacho nahisi ni hotuba ya kuishukuru serikali ya Tanzania kwa Barabara moja ya kihistoia kufutwa jina lake la awali na kupewa jina la kiongozi huyo wa Kenya ambaye nahisi bado Kiswahili kwake ni tatizo japo nchi yake imeonekana kama moja ya nchi inayoongea Kiswahili kwa ufasaha...
Huyo chizi atakuwa chizi kweli Nani kamwambia Swiss na Altalia yamekufa. muongo tena muongo tena muongo kupita kiasi mimi juzi nimetoka rome hapo airport kila dakika 20 inaruka na kutua ndege moja ya Altalia Kihusu swiss imekufa vipi wakati kila ijumaa au jumamosi ipo swiss air Dar Nairobi...
Ndugu yangu jaribu pale mlimani city utapata hizo tv unazotaka akini bei ni shughuli Mimi nilinunua tv samsung 40 inch 3D toleo namba saba maana hawa samsung wanatoa kwa matoleo kama tamdhilia vile. hiyo tv nilinunua Euro 800 kama madafu 1.824.000 hapo mlimani nimeiona wanauza milioni nne tena...
SAWA MTU SAHIHI NAMBIE GARI HILI PALE KWENYE LIST YA TRA HALIPO NISSAN ELGRAND YA 1998 CC3250 CIF 3925usd Nitalipia kiasi gani mpaka kuliendesha au nambie tu ushuru nitakaopaswa kulipai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.