Search results

  1. P

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. P

    Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

    [emoji3][emoji3]
  3. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kama taifa bado tuna tatzo kubwa sana,nchi imejaa ufedhuli kila kona
  4. P

    Ipi sababu ya kuendelea kwa mgao wa umeme?

    Hapo umenena mkuu,yani kama taifa bado tupo kweny usingizi mzito sana
  5. P

    Ipi sababu ya kuendelea kwa mgao wa umeme?

    Habari, Binafsi nimekua nikichukizwa sana na hili suala la mgao wa umeme wadau, wakati fulani kisingizio kilikuwa ni upungufu wa maji sababu ya ukame, ila hata baada ya kushuhudia wiki kadhaa za kiwango cha juu cha mvua mfululizo bado suala la magao wa umeme limeendelea, najaribu kujiuliza...
  6. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hata baada ya wiki kadhaa za mvua mfululizo,je mnaweza tufahamisha sababu ya kuendelea kwa kero hii ya mgao wa umeme?
  7. P

    Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

    Kuhani kama kuhani,hatari na nusu
  8. P

    Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Imekua fursa kwao na wanaichangamkia haswa,nahisi media zinajipa target ya wa tz mil1 tu kutuma buku kwa siku,wanauhakika wa kupokea bil1 kirahisi tu
  9. P

    Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Jiulize kwanza china waliwezaje kuwa taifa kubwa ndani ya miaka michache,hiki tunachofanya kinazidi turudisha nyuma
  10. P

    Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Sasa hapo n kuboresha maisha au kuongeza umaskini,achana nayo
  11. P

    Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Huo n ulevi kama ulevi mwingine na mwisho wake ni mbaya
  12. P

    Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Na siku Zinavyokwenda hali ndo itazidi kuwa mbaya kama hatua hazitachukuliwa
Back
Top Bottom