Search results

  1. Dr Akili

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Nadhani ni kwa mjibu wa masharti ya mikataba tuliyoingia nao huko nyuma. Huwezi ukaisitisha kabla ya muda wa mkataba kumalizika la sivyo utashitakiwa kwenye mahakama za kimataifa.
  2. Dr Akili

    Tanga: Polisi wapiga Stop mkutano wa Hadhara wa CHADEMA

    Kwani mkutano wa chadema unalindwa ili iwe nini? Yote ni mikusanyiko ya raia na kazi ya polisi ni kulinda raia pamoja na mali zao. Kwenye kila mkusanyiko cho chote kinaweza kutokea kwani raia wabaya ni nadra kukosekana hapo.
  3. Dr Akili

    Tanga: Polisi wapiga Stop mkutano wa Hadhara wa CHADEMA

    Kwa nini hamna subira (resilience)? Mmeambiwa msubiri Mwenge upite ndipo mfanye huo mkutano wenu wa hadhara unaoambatana na maandamano kama kawaida yenu. Polisi watajigawaje kulinda mbio za mwenge na hayo maandamano yenu kwa wakati mmoja?
  4. Dr Akili

    Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Kwa nini atumwe? Kwani hao jamaa hawawezi kuchukuliwa hatua za kinidhamu au za kisheria bila kwanza kutajwa hadharani? Huo ni utaratibu wa nchi gani duniani?
  5. Dr Akili

    Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
  6. Dr Akili

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Jee inawezekana ku upgrade ukubwa wa hilo bwawa na kiwango cha uzalishaji umeme kufikia angalao 6000MW au 10,000MW?
  7. Dr Akili

    Mwigulu Nchemba acha kutudanganya kwenye masuala ya ukuaji wa Uchumi duniani

    Usitake kupotosha. http://opr.news/2ffc4a17240326sw_tz?link=1&client=news
  8. Dr Akili

    Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    https://youtu.be/t0IHunBkOEU?si=arx9cNvfSZBGgGr2 Hizi huwa ni matamgazo tu ya kibiashara kwa ajili ya ku promote tourist industry ya nchi zilizolipia hizo online channels. Hivyo takwimu zinategemea na chanel.
  9. Dr Akili

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Naunga mkono hii paragraph yako. Ndani ya kipindi kifupi Makonda alikuwa tayari ameanza kuwafanya wananchi walo wengi (wapiga kura) waanze kuipenda CCM. Alikuwa ameanza kuifufua CCM ndani ndani ya mioyo ya wapiga kura. Ukubwa wa mafuriko ya wanananchi (nyomi) kwenye kila sehemu alikopita...
  10. Dr Akili

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Tanesco iwakatie umeme milele hao jamaa hasa January na Nape.
  11. Dr Akili

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Hii maana yake wanasema huo uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa haramu na ni batili. Uchaguzi huu ndiyo ulimwezesha Salmia kuupata uraisi, Tulia kuupata uspika, January na wabunge wote wa ccm tulionao kwa sasa waliupata ubunge huo kupitia uchaguzi huo. Hivyo January na sasa Kinana wanachokisema...
  12. Dr Akili

    Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Wee vipi? 1967 hadi 1968 ni miaka miwili. Mwaka wa masomo enzi hizo ilikuwa January hadi December. Hivyo alianza A level January 1967 na akamaliza December 1968. Umeelewa?
  13. Dr Akili

    Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Oho, na wewe Pascal ulikuwa hujui? Ndivyo ilivyokuwa. Wahitimu wa shule za sekondari zetu walikuwa wanatunukiwa vyeti vya Cambridge University incorporating a general certificate of education. Fanya utafiti kidogo utajua.
  14. Dr Akili

    Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Siyo porojo. Waulize wakubwa zako kujua elimu ya enzi hizo hadi za akina Kikwete na Mkapa. Enzi za Mwl Nyerere O level ya Cambridge ukiifaulu unakuwa admitted Makerere University College huko Uganda ambayo ilikuwa ni constituent college ya London University. Nakufundisha historia ya elimu yetu...
  15. Dr Akili

    Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Kijana, hilo Baraza la Mitihani Tanzania (National Examination Council of Tanzania aka NECTA) ambalo wewe ndilo lilikutahini, lilianzishwa mwaka 1971. Kabla ya hapo kulikuwa na baraza la mitihani nchi zote za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda) ie The East Africa Examination Council...
  16. Dr Akili

    Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani yakamilika, Magari ya Matangazo yaingia Barabarani

    Wataandamana hadi ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mtaa wa Furahisha, Mwanza? Zile ofisi za UN za Dar zililiziba masikio? Kweli CHADEMA ni Bongo Movie.
  17. Dr Akili

    Mwanza: Siku 6 kuelekea maandamano ya Amani, Wazalendo waanza kuchangia Vitita vya fedha

    Inahusiano sana na maandamano hayo ukiwauliza wanaoombwa kuandama ifuatavyo: 1. Katiba ni nini? Watajibu hawajui? 2. Hii katiba ya sasa mlishaiona na kuisoma? Watajibu hawajawahi kuiona wala kuisoma na wengi wao hawajui kusoma wala kuandika. 3. Hiyo katiba mpya mnayotaka, mnataka iwe na kipi...
  18. Dr Akili

    Mwanza: Siku 6 kuelekea maandamano ya Amani, Wazalendo waanza kuchangia Vitita vya fedha

    The judge asked the killer of former Egyptian President Anwar Sadat: 'Why did you kill Sadat?' He said to him: “Because he was secular!" The judge replied: “What does secular mean?" The killer said, “I don’t know!" In the case of the attempted assassination of the late Egyptian writer Naguib...
Back
Top Bottom