Search results

  1. Y

    Natafuta mke wa kuoa

    Hahahaha. Sawa mkuu. Naona ni yaleyale kama jina langu.
  2. Y

    Natafuta mke wa kuoa

    Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume!
  3. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Aksante chief. Tafadhali unaweza kushare angalau gareji nzuri nikawaone? Nipo Dar es Salaam.
  4. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Aksante chief. Tafadhali unaweza kushare angalau gareji nzuri nikawaone? Nipo Dar es Salaam.
  5. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  6. Y

    Kuna michepuko ni takataka kabisa

    Du, mkuu wewe ni mstaarabu sana.
  7. Y

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    FIFA ipi mkuu? Unajua kuwa FIFA waliondoa timu ya Urusi kishirikia World Cup 2022 kisa Urusi imevamia Ukraine? Hiyo haikuwa siasa?
  8. Y

    Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Kama anayo gari la kazi (hardtop) nicheki PM nimpe connection.
  9. Y

    Ushauri kwa makampuni ya simu kuhusu matumizi ya line za simu

    Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana. Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
  10. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeweka hapo juu post number 360,371.
  11. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mikeka niliweka jana ya team win to nil NO zote nimepata bila kujali timu niliyochagua imeshinda au imefungwa. Bado sijapata mwafaka wa draw sasa either wa magoli au bila bila. Uthibitisho hapa chini.
  12. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aksante kwa ufafanuzi kiongozi. Kuna mdau amesema hata kama Liverpool atafungwa lakini wote wamefungana bet ibakuwa won!
  13. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Du, aksante kiongozi. So hata liver ikipoteza ili mradi tu wamefungana nakula mkeka kumbe! Kwa hiyo tunakubaliana kuwa Win to nil No ni sawa sawa na GG Yes?
  14. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aksante kwa ufafanuzi. Lakini hapa nafikiri umeelezea nikichagua YES. Endapo nitachagua NO ni lazima timu pinzani pia ipate goli. Sasa swali langu ni je, win to nil NO ina utofauti gani ni nikosema GG yes?
  15. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari za asubuhi maafisa ubashiri wezangu. Naomba kusaidia jambo kwenye option ya team win to nil No. Nichukue mfano wa Chelsea vs Liverpool. Nikimpa Liverpool win to nil NO ina maana Liver ashinde lakini Chelsea naye apate goli. 1. Sasa vipi Liver akifungwa mfano 3-2 au timu zikidraw 2-2 au...
  16. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aksante. Nimefanya editing kidogo. Nimepata odds 21 kwa code 9E2EE97.
Back
Top Bottom