Search results

  1. zanzsco

    Bei za Mabelo ya mitumba zikoje Bongo? Nataka kusafirisha kutokea huku USA

    weka email basi watu tufanye business! wahindi wanatajirika hapa tz kwa kuletewa mitumba na ndugu zao kutoka nje!!
  2. zanzsco

    men men men

    Tatizo wadada hutumia moyo kupenda!! Tumia akili zaidi wala haita umia!!! Kama unataka kitu kwake hakikisha unapata!! Siku zote weka mambo ya maendeleo mbele!! Mwenyewe ata salute!!! Sio kila saa mara club o beach, atakudharau Vitaje mara chache ili kufurahia maisha!! Hakikisha unapata...
  3. zanzsco

    Alichonifanyia mdogo wangu naumia

    pole kwa ulio pitia! Ila ukitaka kumsaidia ndugu usimkaribishe kwako! Naongea out of experience! Ungemuuliza anataka kufanya nn na umpe kamtaji kidogo aanzi hapo! zaid ya yote ni Dume!!! mwambie hutaki arudi kwako ila mumeo sasa atahisi ulio kuwa wafanya ni kweli!!!! Msaidie huko huko aliko...
  4. zanzsco

    natafuta

  5. zanzsco

    Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    Nakosa hata cha ku comment!! Unafungua thread huku umepanga kichwani cha ku comment kwa kusoma heading tuu, ila ukisoma content unakua kama paka alie mwangiwa maji!!! Kwa kweli mpaka nachukia, mpaka sometime unaona uvivu wa kufungua jf!! Tubadilike wapendwa. Assante sana mleta uziiiiii.
  6. zanzsco

    Yaliyonipata jana usiku sina hamu.........!

    Si kila kitu lazima uingie huku na upost!!! Nyie ndo mnafanya jf kupoteza ladha yake!!!!!!1 Una umri gani weye!!! Au House boy!
  7. zanzsco

    Kupiga kavu kavu ni noma..!

    Macho wakaka yanavyo watoka mtaweza kuwa na mmja kweli!!!! MHHHHHHHHHHHH, ngumu kumesa!
  8. zanzsco

    Kupiga kavu kavu ni noma..!

    Sifa za kijinga aiseee!!!!!!!!!!
  9. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Tatizo linapoteza focus hasa mkiwa kwenye ugomvi huwa nashindwa hata kufanya kazi aiseeee!!!!! Inaniuma sana!!
  10. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Kujua opinion za watu sio kosa hata kama ni mambo binafsi!!!
  11. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Asante Husniyo umeongea la maana mama!!!
  12. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Kweli dada itabidi niyape likizo ndefu sana!!!!!!!
  13. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    In the process labda will get lucky + prayers oyeeee
  14. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Hujatendwa wewe!!!! Watu mpaka wa fail masomo!!!!! Hujapenda bado ile ya ku risk it all!!
  15. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Kutafuta!!! Wote majanga mpaka naona wananitoa kwenye focus ya maisha tuuu!!!! Nikiwa na pesa watakuja tuu wenyewe tuu uoni jide!!
  16. zanzsco

    Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    Tatizo lenu wanaume mnapenda pa kupaonea!!!!!! Mnajua huyu hata jaribu kutafuta elimu ya ziada na utabaki kumkandamiza tuuuu!!!!
  17. zanzsco

    Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    wanaume achane kujifariji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tabia ya mtu haibadiliki etii kisa huyu ni mwalimu! kipimo cha mke mwema soma Mithali 31 na 32 yote!! Zaidi ya hayo ni Upendo, basiiiiiii mengine ni result of circumstances tuuu!!!!!!
  18. zanzsco

    Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

    Salaaaaaa wana MMU Miss you all much much!!! Narejea hapo juu!!! Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!! Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!! Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu...
  19. zanzsco

    Nilivunja Uchumba Wa Rafiki Yangu, Huyo Mwanaume Kaoa Jana Mtu Mwengine!!!!!! Life Must Go On!!!!!

    Alafu wao sio malaika!!!!!! player anatafuta bikira!!!!!! Na hao ulio waharibu nani awaoe?????????? Wote malipo ni hapa hapa!!! every evil thing has its punishment! Angrrrrrrrrrrrrrrrrrrryyy!!!!
Back
Top Bottom