Search results

  1. K

    Cold water clean

    Huyo atakuwa mnyalu nini? Maana kambwa hako.
  2. K

    Kusitishwa kazi kwa wahadhiri kutokana na hila ya viongozi wa chuo hicho kunatoa taswira gani?

    Mimi nimesikitika sana watz wenzangu je nyinyi mmelipokeaje? Ishu ni kwamba wahadhiri walikuwa wanamadai ya msingi kwa uongozi wa chuo hicho kilichokuwa na sifa zamani lakini sasa kimegeuka secondary ya kata. jambo la kwanza lililowauma wahadhiri hao ni chuo kusitishwa kudahili wanafunzi wapya...
  3. K

    chuo cha ustawi wa jamii Dar

    ukweli ni kwamba si kwamba wahadhiri wamehitalafiana na mkuu wa chuo. wahadhiri wamekuwa wakilalamikia menejimenti kwa uongozi wao mbovu kwani kutokana na sifa zinazotakiwa na NECTA kati yao watatu Mkurugenzi wa fedha na utawala, mkuu wa chuo na mkurugenzi wa mafunzo wote hawana sifa za kushika...
  4. K

    Je wahadhiri hawa wa ustawi kudai haki zao ni kosa mpaka wafukuzwe kazi?

    NDUGU ZANGU, NIMEPOKEA TAARIFA HIZI ZA HUZUNI KUTOKA KWENYE VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUHUSU KUWASITISHA KAZI WAHADHIRI HAO. LAKINI NINACHOJIULIZA WAHADHIRI SASA NI WENDAWAZIMU WA KUDAI MAMBO YASIYO NA TIJA KWA TAIFA? MIMI NADHANI PALE CHUONI KUNA MAMBO NYETI YANAFICHIKA, NILIWAHI KUSIKIA...
Back
Top Bottom