Search results

  1. L

    Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Anatekeleza amri halali ya waxiri Mkuu aliyepinda aloitoa bungeni wakati ndugai akiwa naibu spika.Wapigwe tu hakuna NAMBA na akirudia apigwe tu!
  2. L

    Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

    Imani yako inakutuma kuwa Mwanza ni hapo nyumbani kwako tu? Kama kwako upo umeme haimaanishi kuwa ni Mwanza yote
  3. L

    Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

    Ukweli ni kama sindano. Hakuna ubishi walimu wa Tanzania wanapaswa wajiulize kama kweli hawana moja ya hizo sifa tajwa. Ukiacha hilo walimu hulalama kilà mwaka kuwa serikali haiwalipi haki zao lakini mwisho wa siku kwa njaa zao au sijui nini ndiyo wanatumika sana kuibeba serikali wakati wa...
  4. L

    Serikali ya Kikwete imefanya jitihada kubwa ya kuimarisha usafiri wa anga nchini

    Hoja inapotolewa na mnywa maji ya bendera Mara zote hukosa mashiko. Hivi Watanzania wangapi wa kawaida wanapanda ndege ndipo tuone kuwa kujenga terminal 3 Dar ni jambo la kujivunia? search kwenye net ujue kuwa kuna nchi ndogo kama Shelisheli (Seychelles) au Paula zenye watu chini ya laki moja...
  5. L

    Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    Hivi wewe unauliza au unatoa maelezo? Maana kichwa cha habari ni swali lakini maelezo yako yanaashiria taaarifa. Hivi umesoma shule gani? Husomeki !!!!!¡!
  6. L

    Tabia hizi katika Supermarkets zinaboa

    Hao ni wezi tu kwani supermarkets zote duniani huwa zinakuwa na vitu vidogovidogo kama pipi na biskuiti kaunta ili wakikosa chenji ndogo humpa mteje. pia ni jukumu lao kuandaa hizo miamia toka kwenye mabenki
  7. L

    Dkt Kawambwa: Serikali isilaumiwe matokeo mabaya Kidato cha Nne, adai hang'oki ng'oo!

    Wewe umesoma shule gani ambayo mwanafunzi wa secondary anajitafutia 88% nadhani wewe na Kawambwa mmesoma shule moja. kama mwanafunzi wa sec kidato cha kwanza hadi cha nne anafundishwa 12% wa university anafundishwa asilimia ngapi? Acha kudanganya watu sisi sote tumesoma tena huenda kukuzidi
  8. L

    Dkt Kawambwa: Serikali isilaumiwe matokeo mabaya Kidato cha Nne, adai hang'oki ng'oo!

    Wewe umesoma shule gani ambayo mwanafunzi wa secondary anajitafutia 88% nadhani wewe na Kawambwa mmesoma shule moja. kama mwanafunzi wa sec kidato cha kwanza hadi cha nne anafundishwa 12% wa university anafundishwa asilimia ngapi? Acha kudanganya watu sisi sote tumesoma tena huenda kukuzidi
  9. L

    Dkt Kawambwa: Serikali isilaumiwe matokeo mabaya Kidato cha Nne, adai hang'oki ng'oo!

    kweli watu wengine wamekalia akili wanatembelea macho maana hata hoja wanazotoa utumbo mtupu. nadhani kwa namna anavyomtetea kawambwa utadhani kuna anachopata
  10. L

    Mauaji ya Viongozi wa DINI: Tuna dhamira ya kuyakomesha?

    Nashukuru sana kwa ujumbe mzito ambao kama kweli serikali inataka kumaliza tatizo hawana sababu ya kwenda Loliondo dawa ni hiyo article wakifuata ushauri wako tumepona. Tatizo ndani ya Viongozi wetu wamo wenye UDINI na kuamni kuwa wakitoa kauli za kuwakwaza waumini wenzao labada watatengwa. Mimi...
  11. L

    Matumizi ya namba badala ya majina yawakwaza wazazi/walezi - matokeo kidato cha nne

    Hapa ishu sio kubadili mifumo. Cha kujiuliza huku kubadili mara leo namba mara mwaka huu majina wanafuata kigezo gani? Nadhani ndiyo maana hata baadhi ya watu wanahoji mitaala inayotumika shuleni. Kama mfumo ni namba basi uwe huo ili wazazi wajue kuwa matokeo yakitoka huwa ni namba kwa kufanya...
  12. L

    Radio imaan na sakata la kuchinja

    Utapoteza muda kubishana na watu hao maana shida yao kubwa ni wivu tu wa kimaisha hakuna cha nyama wala nini. Mkristo akifaulu kapendelewa, akiajiriwa sababu mkristo akijenga nyumba kaiba sadaka. Kaamua kula alichochijna nongwa sasa jema lipi? Hivi mnaponunua nyama za ng`ombe supermarkets (...
  13. L

    MAANDAMANO YALIOTOKEA BAADA YA KUJiUZUULU POPE BENEDICT XVI ‘No more Pope’

    Mwislamu utamjua tu kwa kujaa matusi kinywani mwake
  14. L

    UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

    Kama UDSM imepanda chat ni jambo la faraja lakini wasiwasio wangu isije ikawa kama tunavyoambiwa uchumi wa tanzania umepanda kwa asilimia 7 lakini huku mtaani umasikini ndio kwanza unashika kasi. Hizi takwimu nazo ziendane na hali halisi. Je elimu inayopatikana UDSM inakidhi haja ya kuendana na...
  15. L

    HELSB yawaburuza kortini 18 kwa kutorejesha mikopo

    Hata mimi hii habari yanishangaza kwani kuna maelfu hawajalipa labda hawa wanaugomvi na maofisa wa huo mfuko au kuna jambo limejificha
  16. L

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Hapo ndipo penyewe watanzania wengi wanashangazwa na msimamo wa madaktari wa kumkataa waziri.waziri ni mmoja kati ya wafanyakazi wa wizara husika kama wafanyakazi wenzio hawakutaki na hasa wewe ukizingatia bkiongozi wao utafanyakazi nao vipi> wewe waziri wa afya unataka kuganda kama ruba achia...
  17. L

    Madaktari Sawa Watatoka Cuba, India na China. Manesi Je?

    watu wamenza kufa kuanzai jana sasa hilo walojipanga liko wapi? watatuletea madaktari toka INDIA CHINA HATA marekani na hiyo ahadi hewa itawaumbua. Kikwete alipoona watu wanapiga kelele za RICHMOND aliahidi kuileta REAL MADRID MLIIONA ILIKUJA? changa la macho hilo!!KWANI MPONDA CHUMA NA LUCY...
  18. L

    Madaktari Sawa Watatoka Cuba, India na China. Manesi Je?

    KWA KWELI KUNA WATU KATIKA NCHI HII WAMEFILISIKA KI MAWAZO, NANI MUUWAJI KATI YA SERIKALI NA MADAKTARI? TUMEONA MWANZO WALIVIMBA KICHWA LAKINI HATIMAE WALIENDA KUKUTANA NA MADAKTARI BAADA YA WATU KIBAO KUFA NA WALICHOFANYA WAKAKUBALI MASHARTI YA MADAKTARI KITAPELI, TUKUMBUKE YA JAIRO WAZIRI MKUU...
  19. L

    Tamko la wanaharakati kuhusu mgomo wa madaktari, mkutano mkubwa kufanyika kesho

    Mimi kila siku nilikuwwa nalaumu wanaharakati wa Tanzania wako wapi laKINI kumbe hata huyu mwalimu wa UPE na kudhulumiwa kote na serikali bado anakejeli harakati za kutukomboa. Dont be hesitated watu kama hao wapo ila historia itawahukumu.TUSONGEMBELE
  20. L

    Tamko la wanaharakati kuhusu mgomo wa madaktari, mkutano mkubwa kufanyika kesho

    Mimi kila siku nilikuwwa nalaumu wanaharakati wa Tanzania wako wapi laKINI kumbe hata huyu mwalimu wa UPE na kudhulumiwa kote na serikali bado anakejeli harakati za kutukomboa. Dont be hesitate watu kama hao wapo ila historia itawahukumu.TUSONGEMBELE
Back
Top Bottom