Search results

  1. Kyomakin

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Is this thing also a great thinker??!!
  2. Kyomakin

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    PF3 inakuwaje na thamani kuliko uhai wa mtu????! Huo ni upumbavu usiohitaji muwekezaji kung'amua... Nimewahi kupata ajali ambayo pia ilihitajika PF3 kabla sijatibiwa. Pona yqngu ilikuwa tu kwa sababu kati ya walionipeleka hospital unconcious ni afisa kiaina, nikatibiwa na PF3 ndo ikafuata ila...
  3. Kyomakin

    Mgogoro taasisi ya ustawi wa jamii...

    Jamani wana JF, tujaribu kung'amua hili... Hivi mgogoro unaoendelea Taasisi ya ustawi wa Jamii ni wa kisiasa? Na je, Wizara na top Oficials wengine (hadi JK) wanafahamu nini hasa chimbuko la mgogoro huo na tiba zake....?
  4. Kyomakin

    Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

    Ukubwa wake ni kutokana na udogo wako.... Mapumba ni kutokana na kula sana mahindi ya kuchoma, mara nyingi ukiangalia vizuri utakuta kuwa pumba hizo ni za mahindi. Mpunga ni kidogo sana cozi chuya huwa ni chache sana kwenye wali...
Back
Top Bottom