Search results

  1. sifugi naloga

    Hi hawa ni wazee wa namna gani!!..

    Hivi hawa wazee ni wa Dar es salaam? au ni wazee wa CCM wa mkoa wa dar es salaam? mbona tunadanyana sana hii danganyika! hizi sizo enzi za chama kimoja.
  2. sifugi naloga

    Data Security- Wazungu Wameendelea Sana

    hahahahhah nimeipenda hii
  3. sifugi naloga

    Mke darasa la 7

    Mpeleke shule ila uwe mwangalifu msomeshe course za kawaida za kumjengea confidence sio kumpa kiburi.
  4. sifugi naloga

    Pinda ashindwa kupelekea madaktari wanajeshi ktk hospitali za DSM

    Ilikuwa lazima ifike huko maana nilikuwa nataka kujua battle itaishaje lazima ifike hapo.
  5. sifugi naloga

    Iran threatens to destroy Israel within a week

    mwache atambe wamuhesabia tu siku Nijad watamtwanga any time na kama nchi wangechukua Republican tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.
  6. sifugi naloga

    Vodacom kujitoa kudhamini miss tanzania......

    Nitajitahidi kuwadhamini mimi maana huwa nasikia wadhamini wanafaidi kuwachek watoto hadi vinyweleo na kujiopolea unayemtaka kabla umma haujawaona.
  7. sifugi naloga

    Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

    Jmani naombeni namba ya wema mimi nimemzimikia cku mingi naoa kabisaa sitaki kuzungusha zungusha.
  8. sifugi naloga

    Maulid Baraka wa Kitenge

    mwacheni mtu na maisha yake mbona cpwa anafuga dread lock au yule mtangazaji wa SS anavaa kipini msipige kelele. WARNING: USINIELEZE MASWALA YA MAADILI HUKU MAADILI YENYEWE YAMEKUFA.
  9. sifugi naloga

    SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

    This is not good news but due to the info may be wataokoka.
  10. sifugi naloga

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united
  11. sifugi naloga

    CCK imepata usajili, tuwape hongera!

    yaani mtu anakung'oa kwanza meno kisha anakupa mswaki hakuna cha kukipongeza cck hapo! majembe yote yameingia mitini hata wale ambao walikuwa nyuma ya pazia pale CCJ kushney. REST IN PEACE CCJ.
  12. sifugi naloga

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Sina cha kuongeza sana hapo Nice post.
  13. sifugi naloga

    Nawaunga Mkono Madaktari

    wakubwa wametaka wenyewe wangeshughulikia mapema yasingefikia huko.
  14. sifugi naloga

    Samuel Sitta huwa anafikiriaje?

    Mimi namuunga mkono sitta hauwezi kushindana na waarabu kuzalisha wese huku wenzako wanachimba tu, huku unacha kilimo cha mazo ya chakula kwa kujihusisha na kilimo cha ja....
  15. sifugi naloga

    Ndege ya Rais yazuiliwa

    Hali c hali
  16. sifugi naloga

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    Kuongezeka kwa eneo la bahari ni kwa manufaa ya wote Tanzania bara na Tanzania visiwani hakuna swala la Zanzibar na Tanganyika sababu ukileta maswala ya kufaidika? masai wa njiro anafaidika vipi na hilo swala kama unataka faida ya moja kwa moaja! Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu...
  17. sifugi naloga

    Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nachingwea ajiunga na CCM

    Mimi namshangaa Bilal kutumia ziara ya kiserikali kwa shuguli za chama ameyumba. huyo mwenyekiti mwache aondoke kama ni mamluki hasaidii chama.
Back
Top Bottom