Search results

  1. D

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Jamii forums inawachangiaji mbalimbali wakiwemo wataalamu kutoka kwenye mashirika yanayohusika na mifuko ya jamii.Naamini katika mashirika haya kuna maafisa mahusiano ambao wanapaswa kutolea ufafanuzi mabo mbalimbali likiwepo hili.,kwa fursa hii mnaombwa kutufahamisha wafanyakazi na wananchi kwa...
  2. D

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Hata kwenye katiba kila mtanzania ana fulsa ya kutoa maoni yake,wao waislam pia wanamaoni yao kama watanzania kwa umoja wao au muislam mmojammoja,rasimu ya kuandaa dodoso la sensa limeandaliwa na wataalamu ambao kwa umoja wao au mtaalamu mmojammoja alikua au muislam,mkristo,asiye abudu na...
  3. D

    Magufuli amvimbia Waziri Mkuu Pinda

    Twende kazi Pombe...!!!nchi inahitaji balaza la Mawaziri 5 tu kama wewe watafanya kazi zote za Serikali ya Baba Liz na mambo yakawa poa..
  4. D

    TAARIFA juu ya maombi ya CCM kuwa Dkt. Willibrod Slaa awanie ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Nimeona kichwa cha habari kwa mbali kwenye gazeti la Mwananchi..limepambwa na picha ya mbowe pamoja na Dr.Slaa kinaongelea suala la namna hiyo...Kama ni uzushi au ni kweli..Cshauri Dr.Slaa agombee Arumeru Mashariki nafasi ya Ubunge.,Nafac anayoitumikia sasa inaisaidia sana CHADEMA..endelea na...
  5. D

    Mawaziri hawa wana tatizo gani?

    Tatizo tulilonalo ni mafumo:Fikiria kama JK angekuwa na uwanja mpana wa kuteua mawaziri kati ya watanzania zaidi ya milioni 42 kwa takwimu zinazokadiriwa kufikia sasa,akaachana na dhana ya kuchagua mawaziri miongoni mwa wabunge wa chama cha mapinduzi....Tujikite katika kuutafutia mzizi...
  6. D

    Mabadiliko Katiba ya CCM Yamelenga Kumwengua Lowassa

    <br>Nakubaliana na Post:But kwa sababu kuu zifuatazo:-<ol><li>JK na Lowassa kwa sasa hawaendi sawa.(Kuna namna fulani yakuoneshana ubabe,kutokana nafasi ya kila mmoja kwenye chama)</li><li>Sababu ya kutokwenda sawa! -JK alimsaliti Lowassa mara nyingi mno (fuatilia trend ya kutafuta uraisi wa JK...
  7. D

    Ni kweli balozi zetu nje ya nchi zimeishiwa fedha?

    Kimsingi Serikali inahitajika kuwajibika katika hili...
  8. D

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Namkubali sana Mshikaji..Ni kweli kila mmoja na mtazamo wake..mwingine atasema hasafishiki..mwingine atahoji kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania ? Kimsingi hakuna aliyepangwa kuwa Rais,.Makamu wa Rais.,Waziri mkuu.,Waziri.,Mkuu wa mkoa,Mkuu wa wilaya.,Mbunge.,Diwani,Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom