Search results

  1. Bitende

    Uhuni huu wa TBC kuchomoa Signal Cable wakati Bunge Limetota haukubaliki.

    TBC wameona naibu spika kabanwa mbavu na mbatia, tundu lisu,manchali sasa wamekata mawasiliaono watanzania tusione kinachoendelea au kujua ni maamzi gani naibu spika ametoa,wabunge hao wlikuwa wanambana mbavu naibu spika kwa kanuni no.77 wakiomba bunge kuahirishwa kwani hawfiki nusu ya wabunge...
  2. Bitende

    Misemo ya Mpoki jamani!

    dem anayependa pesa aolewe na mabenk au ma E-mpesa jamaa mkali bwana
  3. Bitende

    Wanaoshindania miss shinyanga

    mamis wakiwa wamemaliza kupokea kadi za chama cha mapinduzi
  4. Bitende

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    mwanzoni kilichokuwa kinasikika sana kwenye madai ya migomo yao ilikuwa ni mishahara kupanda na allawances sasa hv mambo yamekuwa magum mumeanza kuhusisha na matatizo ya wananchi ili mpate saport hamna lolote msemo wa mhe.pinda acha liwalo na liwe
  5. Bitende

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    mnyoania nge mnyongeni lakini haki yake mpeni wasira kawatendea haki watanzania kwa kuwaelewesha ambacho wengi walikuwa hawajaelewa
  6. Bitende

    Wabunge 10 bora na dhaifu katika kuchangia bajeti kuu ya serikali 2012/2013

    hujamtendea haki Ester Bulaya kund A hukumuweka
  7. Bitende

    Waziri wa fedha hawezi kutamka neo TRILIONI

    kakulia nje ya nchi huyo hajui ma kiswahili yenu
  8. Bitende

    Mwakyembe: Sikusinzia...

    we unaota mchana
  9. Bitende

    Mhe. Ezekiel Maige: "Mara nyingi watenda mema hufanyiwa hiyana"

    Nikweli mkuu ana hote kahama inaitwa MIAMI HOTERI
  10. Bitende

    Analia nini huyu? tupia maneno..(Maige na mpiga kura)

    hahahaaaa huyu mzee namfahamu yupo pale kahama mjini
  11. Bitende

    Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    mkuu namimi msinisahau BITENDE.nipeni cheo kama cha Rwakatare but mimi ntakuwa wa tawi
  12. Bitende

    SITTING ALLOWANCE vs Standing allowance

    Ujumbe wa dr.silaa jangwani
  13. Bitende

    Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

    Nikweli kabia mkuu itakuwa LIVE BILA CHENGA
  14. Bitende

    Majina ya bar

    Mkuu SONGOKA hiyo hai itwi kibhunu inaitwa chibhunu bar na iko Bunda sio Musoma
  15. Bitende

    Kauli ya Chagulani dhidi Manyerere (Council Mwanza) ni sahihi kwa afya ya CHADEMA?

    acha kutuungia ungia maneno wewe tena usituharibie siku watu tunasherekea
  16. Bitende

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    Namshauri mheshimiwa Ester bulayi ahamie chadema ili achukue jimbo kwani kwa sasa ndo kipenzi cha wananchi wa jimbo la Bunda ukilinganisha na wale wote wanao onyesha nia kgombea jimbo hilo.
  17. Bitende

    Katu sitounga mkono CHADEMA

    Utakuwa umefanya vizuri maana utakuwa shibda wa pili
  18. Bitende

    Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

    apeleke huko uroho wake wa madaraka kumbe ndo maana alikuwa anajipendekeza
Back
Top Bottom