Search results

  1. Ziltan

    Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Binafsi niliamshwa kwa dawa ya mganga, Ndio nikazinduka toka Gizani, shimoni, vifungoni. Nilipoanza kuendelea kujiweka sawa zaidi, Kupitia njia za waganga, ikashindikana. Nikaanza kufatilia kanuni za kuishi Kiuokovu, Now namshukuru Mungu.
  2. Ziltan

    Kwanini wanaume wako hivi?

    Imeandikwa USIZINI Unapoenda kinyume Mungu huwaacha wote na kuanza kufanyiana huo unyama. Zaidi She atamlaumu bure he kumbe tayari Shetani keshachukua utawala wa fahamu zake.
  3. Ziltan

    Ficha mambo haya, kisha njoo unishukuru

    Vizuri, ila siri hizi wazipata wapi,
  4. Ziltan

    Miriam Migomba aacha kazi TBC

    Kila laheri Mama.
  5. Ziltan

    Je, umewahi kupatwa na hali hii au unapitia kwenye hali hii?

    Umepiga kwenye mshono, Hiyo hali sikia tu,
  6. Ziltan

    Hongera star TV kwa vipindi Bora

    Kongole kubwa kwenu, Kuanzia mida ya saa 3 za usiku, wakati familia zimetulia nyumbani. Vipindi vyenu ni Bora kwa watu wote. Wakati channel zingine zikiwa busy na nyimbo zenye matusi na kuvaa uchi uchi, nyie mpo makini kutupatia kilicho bora. Hongereni sana.
  7. Ziltan

    If somebody is treating you like you're nothing become nothing by leaving. Leave!

    Inategemeana, Kama ni taasisi binafsi, sawa. Ila serikalini hapo kitaeleweka asbh tu.
  8. Ziltan

    Kwa imani ya kitanzania: Bila kuroga roga mafanikio utayasikia na utajikuta unasindikiza wenzako?

    Baada ya maanguko mengi sana kwenye maisha, Nikajagundua Adui namba moja wa mtu ni mtu mwenyewe, na mkombozi wa mtu ni mtu mwenyewe. Na pia nilizunguka kwa waganga mbalimbali, mikoa tofauti nikagundua wapo wanaoweza kupata kupitia waganga, Na wapo ambao uganga hauwaingii hata kidogo, ILA...
  9. Ziltan

    Je, Kuna sababu ya lazima kwa mwanaume uliyezaa na mchepuko kuchukua huyo mtoto kumleta kwa Mke?

    Ni mwanaume mpumbavu tu huweza kufanya hivyo. Na mwisho wake ni maumivu makali kwake.
  10. Ziltan

    Laana ya kuwasaliti mababu zetu na mila zetu nzuri imetupa ufukara kama taifa

    Hili ni neno haswa, Wachache ndio wataelewa.
Back
Top Bottom