Search results

  1. B

    Bodi ya mikopo(HESLB), Control Number inasoma 50000 na ukilipa fedha inarudi na mpaka sasa msaada hamna

    Nimeomba mkopo ila control number inaleta 50000 na natakiwa kulipa 30000. kilipa fedha inarudi… nimeenda mpaka bodi ya mikopo wanasema it wao ndo bado hajafanyia kazi na siku zimebaki mbili. Kuna aliyepata changamoto kama hii na ametokaje dakika za lala salama hizi?
  2. B

    Board ya Mkopo (View Application Status)

    Mimi mpaka leo control number inaleta mauza uza… nimeenda mpaka bodi ya mikopo bado hawajanikwamua Control number inaleta amount ya 50000 badala ya 30000 na ukilipa 30000 fedha inarudi
  3. B

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Nikikutext inbox sms zinagoma kuja
  4. B

    Mandonga Mtu Kazi kupigana Uingereza

    Patawekwa mkalimani
  5. B

    Mandonga Mtu Kazi kupigana Uingereza

    Lugha ya nini bro? Umeona warusi au wachina wakitumia lugha tofauti na zap?
  6. B

    Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

    Uongo huo… wapo waliolipwa kibwena tuu
  7. B

    Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Ungeenda DIT kwa wataalam wa hizo mambo
  8. B

    Maji yamezidi unga: Rais Putin aomba mazungumzo na Ukraine yaanze

    Nyie hamuoni jinsi zelensky anavyochapwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. B

    Zelensky asema wanataka kuangamizwa

    Wanachokoza wenyewe afu wanalia lia
  10. B

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Andaa na mabegi kabisa ya kuondoka akishajua sababu ndo tiketi ya kuachwa
  11. B

    Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

    Bado unampenda ndo maana unaumia na kumuwaza… na huyo akija kuomba penzi hutoweza kumnyima
  12. B

    Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

    Kwa hiyo ulipiga mbichi yani[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. B

    Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Walikuwa hawatozi zamani... ila sasa hivi kila mzigo wanatoza 5000
  14. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nguzo za umeme tunalipa tunakaa miezi mitatu bila nguzo
  15. B

    Kwa jambo Hili watu wenye Jinsia ya Kiume Arusha Mmenishtua sana

    Mbona tulishatoa ufafanuzi kuwa yule ni wa dsm alikuwa safarini tuu kule arusha[emoji23]
  16. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa nini mteja analipia nguzo... anakaa miezi mpaka mitatu anasuburi nguzo tuu?? Ina maana hamjajipanga au ni uwezo hamna wa kuhudumia wateja wengi kwa pamoja??
Back
Top Bottom