Search results

  1. D

    Jakaya Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA

    GOOD MOVE Mr PRESIDENT
  2. D

    Wazee Zanzibar tunamtaka Mbowe

    Katika hatua nyingine, Wazee wa Chadema visiwani Zanzibar wamemtaka Mwenyekiti wa Chama hicho, Feeman Mbowe achukue fomu ya kutetea wadhifa huo. Akizungumza na waandishi wa Habari visiwani hapa, Mwenyekiti wa Wazee hao wa Mjini Magharibi, Idrissa Jumbe, alisema wanachama wa mikoa mitatu...
  3. D

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

    Kupitia star tv taarifa saa mbili wamemuonyesha jamaa mmoja anaitwa Erenest sheshe kwamba alikuwa m/kiti wa CDM arumeru magharibu na amejuzuru nafasi za uongozi na kujiunga na act. Cha kushangaza kuna kadi alikuwa ameweka mfukoni kama 7 hivi alipofika mezani akazitoa. ukiziangalia zile kadi...
  4. D

    Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Mleta mada na unayemuwakilisha jiulizeni mara ya mwisho mliugua lini kichaa cha mbwa? Hivi kweli hii mipira ya kiume iliyotumika na kutupwa eti inajiita WAPINZANI? mwanaume uliyekamilika lazima unasimama mwenyewe sio unakuwa kama nzi anayefuata kinyesi. hivi akili zenu nyie magamba B mmempa...
  5. D

    Utapeli ‘mkutano wa Ukawa, CCM’

    Kwa ufupi Alisema baada ya kupata taarifa hiyo, alikwenda karibu na hoteli hiyo kuchunguza ukweli wa jambo hilo na kabla ya kuingia ndani alimwona mtuhumiwa akiwa na mtu mwingine ambaye hakumtambua akishuka kutoka kwenye gari. Dodoma Mkutano wa maridhiano uliokuwa umepagwa kufanyika jana mjini...
  6. D

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, amesema atajiunga na chama kipya cha siasa. Hata hivyo, amesema uamuzi wa kuanzisha chama chake kipya cha siasa utasubiri kwanza uamuzi utakatolewa na mahakama katika kesi yake iliyopo mahakamani inayohusiana na uanachama wake ndani ya Chama...
  7. D

    CHADEMA kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki kwenye chaguzi zake za ndani

    Huyo mwenyekiti alikuwa anashindana na mgombea gani kwenye uchaguzi? kwa miaka kumi mnafanya uchaguzi mara ngapi?
  8. D

    Bila shaka hili gazeti limeanzishwa na hawa mapacha ACT- Tanzania na CCM

    Hili gazeti halina mda mrefu sana na limekuwa likiandika habari za hiki kisaliti na kuponda chama chake cha zamani
  9. D

    Dkt. Slaa na ahadi ya Morogoro na wanaoitwa viongozi wa CHADEMA Tanga Mjini

    Acha uvivu wa kufikiri. watanzania wengi wanajidai ni wajuaji sana lakini hawajui chochote zaidi ya bla bla nyingi. na ndio maana mtu anamaliza chuo hajawahi hata kujitolea ili apate uzoefu anataka awe manager,mkurugenzi wa kamapuni. Tatizo la hii nchi kwamba sheria na kanuni hazifuatwi watu...
  10. D

    Vijana wa Tanzania na siasa za kuonewa

    Katika nchi yoyote duniani ili iendelee lazima sheria zifuatwe na kutekelezwa bila kujali ni nani amezivunja. Lakini kwa Tanzania pamoja na vyama vya siasa imekuwa tofauti. mambo yamekuwa tofauti na umejengeka utamaduni wa kishenzi wa kuoneana haya. na ndio maana mimi nasema siku ikitokea...
  11. D

    Dkt. Slaa na ahadi ya Morogoro na wanaoitwa viongozi wa CHADEMA Tanga Mjini

    Hao watarudi na kupiga magoti wakiomba wasamehewe kwa sababu wanafuata mkumbo. hivi mwanaume uliyekamilika unakuwaje kama nzi unamfuata mwanaume mwenzako nyuma kama vile umempa akili zako akutunzie? kama wameahidiwa pesa WATAPEWA ZA BANDIA NA KUPANGIWA KAZI CHAFU NA OVU KAMA WALE JAMAA WA...
  12. D

    CHADEMA kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki kwenye chaguzi zake za ndani

    Hivi ccm mara ya mwisho mmefanya lini uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm taifa? Mbona nyie ccm ni watu wa ajabu sana,mara sijui cdm kimekufa lakini kila siku mnahangaika na viongozi wake.kwa nini mnahangaika na maiti? mbona sijawahi kuona umepost uzi unaozungumzia ufisadi na wizi uliokithili nchini?
  13. D

    Mkapa amtwisha Kikwete mzinga wa nyuki yeye asepa

    Mara ya mwisho kuugua kichaa cha mbwa ilikuwa lini? mbona unajitahidi unachangia peke yako? kwani kinachofanyika dodoma sasa hivi ni nini au wanatunga kanuni za uvcccm?
  14. D

    Mkapa amtwisha Kikwete mzinga wa nyuki yeye asepa

    Hatua ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kujiweka kando kuzungumzia suala la mchakato wa Katiba Mpya na mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, imeibua maoni tofauti ya wananchi huku baadhi wakisema anakosea na wengine wakimtetea kwa maelezo kuwa uamuzi huo ni matokeo ya busara ya hali ya juu...
  15. D

    Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

    Mara ya mwisho uliugua lini kichaa cha mbwa? sheria ipi unayoisema? hayo maoni yanakusanywa kwa mujibu wa sheria ya mwaka gani ? ilitungwa na nani?
  16. D

    Pinda awakera Polisi

    HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenda kuhani msiba wa mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga ‘Mawe Matatu', bila kufika hospitalini Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa vibaya wakati akipima ajali iliyosababisha kifo hicho, imewakera askari polisi...
  17. D

    Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

    CCM ilifanya lini uchaguzi wa mwenyekiti taifa?
  18. D

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Lowasa kila siku yuko ujeruman kucheck afya ya sikio,huo muda wa kutumikia wananchi ataupata wapi?
  19. D

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Kwa hiyo kitendo cha pinda kuruhusu watanzania wanaodai haki zao wapigwe eti kwa sababu amechoka ni kitendo cha uzarendo? alikataa uteuzi au ndio sitaki nataka? kwani kuna mtu aliyemlzimisha kuwa waziri mkuu?
  20. D

    Ziara ya Mwigulu Nchemba Iringa

    Hivi ccm hamuwezi kutofautisha kati ya watoto na vijana ? hawa ndio huwa mnawabebesha siraha. hivi haki za binadamu mko wapi? Hivi SOKOINE alikuwa anajihusisha na ugaidi ambao mwigulu amekuwa akitajwa na watu mbalimbali kwa kutunga kesi za ugaidi kwa upinzani? watanzania mkome kumdhalilisha...
Back
Top Bottom