Search results

  1. N

    Hapa ndo mapenzi yanapokuwa magumu, mchumba wangu jamaa zangu 3 walishawahi kutoka naye

    Kama wewe huko nyuma ulikuwa mwaminifu achana nae, ila kama nawe ulifanya hayo huko nyuma basi ujue ni mbegu ulipanda sasa vuna mazao ndohayo. Haiwezekani wewe uzini hovyo halafu uoe alie msafi. Mungu sio mnafiki anampa mtu sawa na alichopanda.
  2. N

    Lema: Spika nashukuru kwa msamaha wako wa bure lakini mimi na familia yangu tumechagua kuendelea kukuombea

    Kwa hiyo hutaki viongozi waombewe? Au mna maneno? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Mwanzo wa anguko ni kiburi, kabla mtu yeyote hajaporomoka hutanguliwa na kiburi. Haya tuwemo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Ananiambia kama nampenda nibadili dini, Kwani mapenzi ni dini?

    Yaonyesha hata dini yako huipendi, ndio maana unataka ushauri kwa watu. Dini ni kibebeo cha Imani kama huna Imani na unaemwamini dini si kitu kwako. Na ukibadili tu umeolewa tayari haijalishi ukiitwa mwanamume utakuwa mwanamume suruali.
  5. N

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Jamani kweli hivi kweli inawezekana kampuni yenye uwekezaji Mkubwa namba hii kufanya KAZI bila usajili? Hapa nahitaji msaada nami nielewe. Na mrabaha hata kama ni kidogo tulikuwa tunapokea kwa kuuandikiaje? Jamani kwani sisi madodoki? Tunameza tu.
  6. N

    Nini tafsiri ya serikali kusambaza tani milioni 1.5 za chakula?

    Tumbo lenye njaa halina masikio.
  7. N

    Zitto Kabwe: Serikali haitaweza kukusanya zaidi ya 60% ya makadirio yake

    Mnaopinga mtazamo wa Zitto tumieni basi hata akili kidogo jamani daaa mnatia aibu hata kujiuliza mara mbili hakuna? Ukiona kitu kwa kuwa cha upinzani huyo vidole vinawasha, haitawasaidia.
  8. N

    Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

    Kinachonishangaza ni kitu kimoja kama hawana tija na hakuna cha maana wakifanyacho bungeni hao Ukawa nyie wenye cha maana si muendelee na mambo yenu? Mbona kama nafsi zenu zinawasuta? Na kama mnakubali si muache bunge liwe fair? Halafu wengine humu wanatoa povu oooh wataona sasa wataona nn? Hivi...
  9. N

    Hii ndio dawa ya kukomesha vurugu Bungeni

    Mleta mada sidhani kama umefikiri vizuri, nilipoona una nywele nyingi nikajua akili ni nywele zina faida kumbe za kwako ni bure tu. Kanyoe. Kama unafikiri kukaa wabunge wa upande mmoja ni tija mbona wakitoka wa upinzani hatuoni hoja za mashiko kutoka kwa hao watulivu? Chukua hatua "tumia akili"
  10. N

    Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

    Ukitaka kujua uzuri wa Arusha mtafute mfanyakazi wa ICTR aliekuwa Arusha na Muda wake ukaisha akatakiwa kuondoka ndio atakwambia uzuri au ubaya wake. Siku nyingine njoo na wako umpendae kisha uende viwanja ndo utajua ushamba wa watu wa Arusha. Hata hivyo yategemea uzuri wa mji nini katika...
  11. N

    Hivi Wananchi wa Mtera mmekosa Mbunge mpaka mnatuchagulia mchekeshaji? hamna matatizo nyinyi?

    Kwa hiyo kukosea kuandika Mungu na kuandika mungukunaondoa uhalali wote wa maandishi yaliyomo ndani ya hicho kitabu? Mambo mengine ni ya kitoto sana anajuaje mungualieandikwa hapo ni huyo anaemtukuza yeye yaani CCM na sio Mungu Jehova? Kuwaita wengine watoto Hilo sio neno la kuudhi? Ajiheshimu...
  12. N

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Kitu kingine lazima tuelewe ni kuwa shetani hajaumba kitu. na lazima tujiulize unaona taabu gani kwa wana wa Mungu wakimtukuza Muumba wao katika hali hiyo wakati huohuo unaona ni sawa kwa wana wa dunia wakifanya hivyo kwa shetani? mbona tunakuwa wanyonge wakati sie ndio wana wa mfalme na ndio...
  13. N

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    jamani tuwe wa kweli nani alisema ukiimba bila kucheza ndio kumwabudu MUNGU YEHOVA? au tunatangaza uzuri wa dini zetu? kumbuka kama wewe hupendi sio maana kuwa jambo hilo ni kosa. na ninacho kiona hapa ni jinsi ambavyo mnawakwa na tamaa muingiapo sehemu za ibada badqla ya kumwabudu katika roho...
  14. N

    Mchumba wangu katolewa kizazi

    jamani hii imani humu jamvini mmetoa wapu? sasa kizazi kimetolewa japo sababu hasa haijatolewa nyie mnasema kwa uwezo wa Mungu atazaa hicho mnachoongea ni kweli? chukueni nafasi mngekuwa nyie mngefanya hayo mnayomwambia? ni bora angekuwa hajui. ingeeleweka sasa anajua na tena ameona. acheni...
  15. N

    Waimbaji wa Nyimbo za Injili Mrudieni Mungu

    Hata mm nakuunga mkono sijui jambo hili linatoka wapi, kama umoja wao wenyewe wameshindwa itakuwa huo wa mchanganyiko? Na siku hizi wanajipa vyeo eti Malkia wa uimbaji namba moja, mulemule jamani waimbaji wa Injili someni neno
  16. N

    Ushoga na Udini: Mwigulu achafua upepo Bungeni!

    Jamani tangu lini mchongoma ukatoa zabibu? Hayo ndio yalioko kwenye mchongoma, na ukiona mtu anaongelea sana ushoga basi ujue yeye ndo yuko hivyo, kinachonishangaza sio mwigulu bali aliemteua hivi alifikiri kweli? Na alipata ushauri kwa walioko karibu yake wakamwambia anafaa? Sasa hapa nadhani...
  17. N

    CHADEMA mbona mmewaacha watanzania? Msitukane haisaidii

    Kuna watu wanshangaza sana, kama CDM hakuna kitu mbona mnatumia nguvu nyingi kuisema sema? Kama haiwaumi au haitishii mambo yenu si muendelee na mambo yenu? Kila kukicha CDM, CDM hamuoni kwa maneno yenu mnaikana lakini moyoni mnaikubali? Jiangalieni vinginevyo mnatumika kuitangaza CDM.:D
  18. N

    Onyo kwa mnaotaja jina la rais na taasisi ya uraisi hovyo

    Mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe la sivyo mti usiotoa matunda watu watafungia bembea na kuuchezea;
  19. N

    Serikali mbili inatunyima haki watanganyika

    Naomba kuuliza hivi tarehe 9dec ya kila mwaka huwa tunasheherekea uhuru wa nchi gani tanzania au Tanganyika ambayo haipo?
  20. N

    Zitto Kabwe ampinga Rais Kikwete baada ya hotuba ya kufunga Bunge!!!

    Hivi mambo ya Tanganyika yanaongelewa wapi? Nataka kupeleka maoni yangu
Back
Top Bottom