Search results

  1. A

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    Sishangai kwani maneno hayo yote hutokea kama hali ya kukata tamaa au majuto nafsini mwa mtu au watu. Si vibaya kusema heri kufa kwa risasi kuliko kufa kwa kunyongwa japo vyote ni vifo tu. Wanaosema heri ya mkapa wako sahihi kwani unapolinganisha watu wawili lazima ataonekana mmoja bora kuliko...
  2. A

    Uchaguzi Igunga: Chadema kutumia Helikopta

    "mchakato, tuko mbioni, kamati, tunasubiri majibu ya tume" n.k. Yamekuwa ni maneno ambayo yamekuwa ni kikwazo kwa juhudi za maendeleo kwa wananchi. Nakubaliana na wewe bwana koo kwani michakato isiyo na specification of time na mikakati madhubuti ya utekelezaji ni kama ubabaishaji ulio dhahiri...
Back
Top Bottom