Search results

  1. kadeti

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ila insider km mbususu umezisugua ni hatari Ogopa....
  2. kadeti

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwamba" hutopendwa na Kila mtu apa Duniani"
  3. kadeti

    God is dead

    God exit everywhere...even here
  4. kadeti

    Human being; Very complicated gods experiments

    Kwa Mimi ninavyofikiria mpaka Sasa, ni kwamba yawezekana ukifa unazaliwa Sehemu nyingine with different body and soul...
  5. kadeti

    Huwezi tegemea wawekezaji wa kigeni ndiyo waendeleze nchi

    Ni bora kuingia PPP na mashirika ya nje kuliko kuyabinafsisha 100% kwa wageni...ni hatari sana kwa uchumi wetu
  6. kadeti

    Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

    Wanasema" time will tell the tell"
  7. kadeti

    Halmashauri ya wilaya Rorya ina changamoto ya maji

    Swala la maji ni changamoto kubwa Sana kwa maeneo mengi Sana hata km eneo limezungukwa na Vyanzo vya maji....mfn Jiji la mwanza maeneo mengi nje ya Mji hayana maji hata km changamoto ni Milima lkn, Swala la maji limekuwa mtihani Sana kwa wizara ya Maji.. ni aibu Sana Wakazi wa Mwanza hasa...
  8. kadeti

    Wana Rorya tumkatae Chege kama barabara ya Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami haitakamilika

    Yeye alihaidi kuisimamia Serikali Sasa kama Serikali wao wameshindwa kutatua Hilo tatizo la Barabara miaka nenda Rudi, yeye kama MB atoe pesa zake mfukoni ..? No ....Rorya mpeni Kijana Muda afanye kazi kadri Serikali inavyompa sapoti.
  9. kadeti

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Walishasema Akili ndogo uongoza Akili kubwa...Tutafika tu.
  10. kadeti

    Inakuwaje mwanamke anakuwa na K baridi?

    Hannah: naomba nikukute pale kati....
  11. kadeti

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mnakuza Sana mambo siye Wanachato tunawazoom tu....
  12. kadeti

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Kitambo Sana,hope muafaka wapi azikwe ushamalizika.....R.I.P Mzee wa Ruksa
  13. kadeti

    Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Kuna Single Mama Moja kampeleka Bwana ake ustawi wa jamii kwenda kudai matunzo ya mtoto, so baada ya kuitwa Jamaa ustawi wa jamii, jamaa kafika na mazoea yakaanza na wale Wadada wa ustawi wa jamii mwisho wa siku Jamaa akamchapa mdada Moja Mimba pale Ustawi wa Jamii....
  14. kadeti

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi Hawa viongozi wa CCM ndo kusema wamefeli kabisa kumalizia tatizo la Umeme apa nchini. Nashindwa kuelewa apo awali tuliambiwa ukosefu wa Mvua ndo chanzo Cha Umeme kukosekana nchini aya Sasa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akatukalia Mvua ktk pande zote za nchi lkn Bado tatizo la Umeme liko...
  15. kadeti

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nyamoro, pasiasi, Kona ya bwiru ....
  16. kadeti

    Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    TISS ni Cabal iliyojificha.
  17. kadeti

    Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

    Mama nikuambie Kitu tunza risiti zako zote ulizokuwa unafanya manunuzi kipindi unafanya ujenzi wa nyumba Yako, na rekodi yote ya Mikopo ya Mabenki kwa ajili ya ujenzi, kuandikwa kwa jina la mmmeo kwenye Kiwanja siyo tija Utakuja kunishukuru baadaye
Back
Top Bottom